Wakubwa hii miti kwa Tanzania inapatikana wapi na inaitwaje?

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
ce9e28104709c423f63414c38eddcc6e.jpg

na kama itakuwa inapatikana hapa hapa tanzania nitafanya juu chini na hadi nihahakishe nifike ilipo.
na nikae chini ya huo mti na ninahisi moyo wangu utafarijika sana na ninaona kwangu itakuwa ni zaidi ya kwenda marekani.
 
Ukae chini ya mti moyo utulie au umetumwa na mganga wewe ?
hilo ndio tatizo la muafrika. nimezungumzia kitu ambacho ni cha kwaida lakini ww tayari umeisha waza uganga.

kama kila mtu angekuwa anawaza kama ww basi hata wazungu wangesipo kuja tanzania kutalii.

na kwa maelezo yako nimegundua watanzania wengine wanasafari ndefu kujua umuhimu wa utalii wa ndani.
na watakuja kupata akili wakati vitu vingi vya asili vimepotea.
 
Povu la nini aisee njoo nikuazime jogoo mweusi na mchele uoteshe utaota huo mti
 
Back
Top Bottom