Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,250
- 33,824
Muonyeshe kwamba hauna uhaba wa wanawake. Mademu huwa wanakuwa wepesi kwa wanaume wenye options nyingi za wanawake. Lakini kama hauna demu, mke wala wanawake wengine hawaonyeshi kukutaka basi kumpata demu inakua ngumu sanaSina gear yeyote yeye ndiyo anataka kuongea na mimi
Najua huwa ananifuatilia Toka siku nimkute pale mzuri ila sikuwahi kumuwaza Toka nimejua ananifuatilia sina uhaba ila kaninyongonyesha kusema sina mwanamke that's why nakunywa sanaMuonyeshe kwamba hauna uhaba wa wanawake. Mademu huwa wanakuwa wepesi kwa wanaume wenye options nyingi za wanawake. Lakini kama hauna demu, mke wala wanawake wengine hawaonyeshi kukutaka basi kumpata demu inakua ngumu sana
Umefeli pale ulipokubali kwamba yeye anaitwa VIVIAN.Kaka NIMEFAIL WAPI?
VIVICA FOX.Anaitwa nani
Shida yako ni kumuoa au kuchakata tu. Kama umefall in love achana na huo mpango kama ni kumchakata tu mtangazie dau. Process ya kupewa ni ndefu sana, kwaiyo nunua.Najua huwa ananifuatilia Toka siku nimkute pale mzuri ila sikuwahi kumuwaza Toka nimejua ananifuatilia sina uhaba ila kaninyongonyesha kusema sina mwanamke that's why nakunywa sana
Aachane na hayo mambo afanye mambo mengine...
duh!Najua huwa ananifuatilia Toka siku nimkute pale mzuri ila sikuwahi kumuwaza Toka nimejua ananifuatilia sina uhaba ila kaninyongonyesha kusema sina mwanamke that's why nakunywa sana
Unaomba Namba ya nini sasaSina gear yeyote yeye ndiyo anataka kuongea na mimi