Elections 2010 Wakristu na Waislamu kuiunga mkono CUF na kuipa kura za ndio ni baada...!

Mwiba Heading yako ina-demage si kujenga kama unavyofikiri. Waislam hawajakaa kimuungano wa kusema wataiunga Mkono CUF, si sasa wala Miaka ya Nyuma since CUF ianzishwe...

Nafikiri the same na Wakristo.
Labda utupe source ya Hoja zako za kuwa kimefanyika Kikao mahala XYZ, lkn nijuavyo hata kama kumefanyika Kikao, basi may be ni ktk makundi level..si ktk National level...!!!

Khs Hoja za Dr. Slaa na Josephine...kwa mtu wa Haiba yake hakustahili kumchukua mwanamke "Kienyeji" mtu ambae ametunga kitabu kueleza Maisha ya Wanawake/Wasichana wema Kanisani.
.....Nashaangaa pia kwanini anatake too long "Kumuoa" huyu dada/Mama...na kuendelea kumtangaza Mke mtarajiwa? How does it cost kufunga nae ndoa?.....So far hii ni Aibu kwa Wanajamii kuidharau Ndoa....as Ndoa ndio Foundation ya Ujenzi wa Taifa. Taifa lazima lijengwe na Watu...Wanadamu ni Tofauti na Viumbe vingine...
 
Back
Top Bottom