Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,096
Hizi ni blogs uchwara wakishirikiana na BBc , hakuna ukweli eti wanakandamizwa ni uongo ...Wakristo wapo zenj, iran saudi kote wanafanya ibada zao labda makanisa.Kama wao wanaona ukrisito ni hatari kwa usalama na maadili ya taifa lao wana haki ya kuudhibiti.
Alafu hata hivyo wakristo ndani ya Iran wametengewa mpaka viti maalumu ndani ya bunge la nchi hiyo sasa sijui hizi habari za Iran kukandamiza wakristo zinatoka wapi?
Wamekatazwa kwenda? Waende wakafanye ibaada yao hakuna atake wagusaUliona wapi shughuli za waislamu vatican ? Acha ujinga hakuna hata muislamu mmoja .
Pale tunajua kuna ukristo sio lazima kwenda kwani kuna nn cha maan .
Danganya wajinga wa kijijini kwenu ..Hakuna shughuli hata chembe ya muislamu vatican .
Tatizo unaongea ujinga kwa vile hujui , mji ule ni kwa ajili ya wakristo kama ilivyo mecca kwa waislamu ...Sehemu ile muislamu afuate nn ? Nje ya mkristo hauhesabiki kama mtu wa pale .Wamekatazwa kwenda? Waende wakafanye ibaada yao hakuna atake wagusa
Wewe ustadhi uchwara hata kusoma haujui, ni wapi pameandikwa Muslims hawaruhusiwi kuswali?Tatizo unaongea ujinga kwa vile hujui , mji ule ni kwa ajili ya wakristo kama ilivyo mecca kwa waislamu ...Sehemu ile muislamu afuate nn ? Nje ya mkristo hauhesabiki kama mtu wa pale .
Waambie wakubwa zako wakufunze sio unaropoka vatican huijui dogo .
View attachment 3074629
wapi kumekatazwa iran wakristo kusali ? Acha huyo muislamu atambuliki kama mkazi wa vatican ....Wewe ustadhi uchwara hata kusoma haujui, ni wapi pameandikwa Muslims hawaruhusiwi kuswali?
So ulitaka Vatican wawajengee msikiti! Alf tambo za kuzaliwa mjini ni za watoto wa kike na mitoto ya kiume inayoishi kwenye nyumba za urithiwapi kumekatazwa iran wakristo kusali ? Acha huyo muislamu atambuliki kama mkazi wa vatican ....
Wataswali wapi ? Sawa umkate mtu mkono au unataka kumpa pesa apokee na mkono .
Usiwe mjinga hata vatican huijui π π π hakuna majengo ya kuabudu kwa dini nyingine ...Naishi na watu wamefika na kusoma dini huku wameniambia sio wewe unatokea kijijini ..
Ona dogo ulivyokuwa boya hata vatican ulikuwa hujui eti wanaruhusu kuswali ...Waislamu waende kufuata nn pale ? sehemu ile ni kwa ajili ya wakristo au ulisikia waislamu wakikimbilia vatican ? π πSo ulitaka Vatican wawajengee msikiti! Alf tambo za kuzaliwa mjini ni za watoto wa kike na mitoto ya kiume inayoishi kwenye nyumba za urithi
Wewe unae ijua Vatican umefaidika nini? Kwakweli pumbafu ni mzigoOna dogo ulivyokuwa boya hata vatican ulikuwa hujui eti wanaruhusu kuswali ...Waislamu waende kufuata nn pale ? sehemu ile ni kwa ajili ya wakristo au ulisikia waislamu wakikimbilia vatican ? π π
Limbukeni hamna unachojua , Eti vatican wanaruhusu kusali waislam! Uliona waislamu wakipiga kelele kuabudu huko vatican ? Nyie mkienda Iran mnataka makanisa , uliona wapi mtu kakamatwa kisa kuabudu au ujinga .
Kiufupi vatican huijui kaa utulie wala uelewi hilo jina lina maana gani ,siku nyingine ropoka mble ya wajinga wenzio sio mimi .πππ
Usitudanganye eti vatican wanaruhusiwa kusali? π π Danganya watu wa kijijini kwenu.Wewe unae ijua Vatican umefaidika nini? Kwakweli pumbafu ni mzigo
Vatican hakuna waislam, wabudha wala wahindu.Umewahi kuona katika Jiji la Vatican Kuna swaliwa swala ya Eid ?Kila sehem kuna culture zao