tulia wewe mbona unaharaka kama mkojo wa asubuhi
Mbwenuuuuuuuuuh ................. yakamtera Yanga!!!!!!!!!!!!!! 1 - 0 front ya My wife wake... is very fantastic
Hawa YANGA pamoja na wachezaji wa mataifa sita ... Congo, Burundi, Tanzania, Ghana, Uganda na Rwanda bado wanaendelea na tabia ya kunawa bila kula ............. Iweeeeeeeeeeeeee
Yaani umenichekesha pilau.
Yanga wanadhani mpira ni kuwa na wachezaji wenye majina.
Mpira mipango. SIMBA kama kawa.
Mipango yenu inasababisha marefa wanafungiwa!
Nasubiri siku Manji atakapocharazwa bakora pale Jangwani. Na ukio hilo wala haliko mbali kutokea.
Mkuu ungemwambia mbona ana haraka kama goli la Amri Kiemba?tulia wewe mbona unaharaka kama mkojo wa asubuhi
Mbwenuuuuuuuuuh ................. yakamtera Yanga!!!!!!!!!!!!!! 1 - 0 front ya My wife wake... is very fantastic
Hawa YANGA pamoja na wachezaji wa mataifa sita ... Congo, Burundi, Tanzania, Ghana, Uganda na Rwanda bado wanaendelea na tabia ya kunawa bila kula ............. Iweeeeeeeeeeeeee
Wakora sana..mmmmmmmhh. Infact kama hii;Kila kocha wa yanga lazima na style yake ya kuvaa. Huyu wa sasa kaibuka na skin tight
Sio mbali ni alhamisi tu.Kocha mpya anafukuzwa lini sasa?
Wakikusikia unasema ukweli watakufukuza kama Tom Saintfet, mshika mfuko. Mwesigwa, na Sendeu wao.Usajili wote tuliofanya lakini bado tunafungwa, nadhani sasa tujiulize kama pesa zilizotumika zimeleta watalii ama wachezaji, si ajabu tukala kipigo kutoka kwa wanetu hapo Kirumba kama mwaka wa jana, loooh, afadhali Tegete acheze maana....!