donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Watajua tu hap ni wapi
Mi nmemuona hyo manz tu
Hahah
ulimsaidia kutafuta mpaka unampa ushauriPumzisha Figo na Maini kidogo, chukua likizo ya wiki 3 mpaka mwezi, Juice za matunda halisi na H2o.
Kwenye maswala ya Afya kupeana ushauri ni muhimu.ulimsaidia kutafuta mpaka unampa ushauri
Hechi two o haiandikwi hivyo mkuuPumzisha Figo na Maini kidogo, chukua likizo ya wiki 3 mpaka mwezi, Juice za matunda halisi na H2o.
Nirekebishe basi.....Hechi two o haiandikwi hivyo mkuu
Hiyo ni Kawe, sikumbuki jina ila ni Bar ya mwisho kabisa kama unaenda Bagamoyo road upande wa kushoto.
Upo sahihi mkuu
Nimekosea upande, nilitaka kuandika upande wa kulia, ukitoka pale kama unaenda Bagamayo.
Baada ya pale kuna maduka ya nafaka.
Kweli mkuu panaitwa jambo lee