ibramadishi
Member
- Oct 1, 2014
- 44
- 13
Jamani nikikua mbali nimemis habari za asenal nawaomba wana jamvi mnijuze
Jamani nikikua mbali nimemis habari za asenal nawaomba wana jamvi mnijuze
Jamani nikikua mbali nimemis habari za asenal nawaomba wana jamvi mnijuze
Asernal tumefungwa na swansea 2-1
Asernal tunakocha wakipuuzi kabisa, hafanyi mabadriko katika muda muafaka tena mbaguzi, maana camble hachezeshwi kila siku na kazola ambaye anachezea mpira sanaaa katikati nakusau mpira nimagori.
Habari ndo hiyo.