Wakongwe hawa wa bongo fleva wapo wapi ?

Wakongwe hawa wa bongo fleva wapo wapi ?

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,433
Reaction score
38,402
Rejea kichwa cha habari!

Wako wapi wabongoflavor hawa?


  1. Raha P
  2. Kali P aka Kali popote
  3. Dan McMamo
  4. Ismael
  5. Fatuma (dada wa hard mad)
  6. Pauline Zongo
  7. Pingu - Deso
  8. Dogo Hamidu
  9. Mr Paul
  10. Mika Mwamba
  11. Hasheem wa Block 41
 
Mika Mwamba is a finnish and currently is living in his motherland i meant FINLAND.
 
♥Soul N' Faith kina Ismail walikuwa na kibao kikali sana Niwe Nawe,Ismail yupo na Mjomba Band mpoto.
♥Rap P kuna video alikuwa anaelezea issue za madawa mme wake alivyokamatwa.
♥Dan Msimamo yupo na Sugu pamoja na mkoloni.
♥Paulin Zongo yupo TOT Band.
♥Pingu katoa wimbo kama miezi mi2 iliyopita Deso yupo Tiptop na vilevile anakata nyanga Ifm.
♥Dogo Hamidu yupo sana labda haufatilii mziki ana single kama 3 zinabamba.
♥mr paul yupo nje ya nchi anafanya mambo nadhani australia.
♥Hasheem dogo yupo nje ya nchi.
♥fatma na kalip no ideas.
 
Back
Top Bottom