Acha kabisa....nililia kimahaba mpaka mtoto wa watu PakaJimmy aliloa viungo vyote!!! Na kumkumbatia juuu!!!
Alikuwa chapachapa kwa mahaba ya ki-Tanga kwao Arabela....
eeeeeeeeeh,naona wakongwe mpepata pa kukutania sasa,daaaah ila zile hits za makapuku ni soo,sasa hv sijui wapo ukurasa wa ngapi,madogo wanapost kwa spidi ya hatari sana aisee