Wakongo wamezidi uroho.

Sasa hv wamepungua sana maana ili ubebe boksi mpska uwe na div 4. Sasa wale wayege wa kahabwa na buronge wameishia kuchimba mchunga migazini na kufyatua tofali.
Hahahaaaa eti migazini....ukishaenda shule unasema chikichi.
Mkuu mondray unakifahamu kibombobombo??
 
Soko mutu bei yake iko juu kama kuku wa kienyeji. Si ajabu hawa wandugu kuugua magonjwa ya ajabu ajabu wanakula vingi.
 
Hahahaaaa eti migazini....ukishaenda shule unasema chikichi.
Mkuu mondray unakifahamu kibombobombo??
Mkuu mm ni mzawa pyua wa huko najua misemo yote kama kinyantimba.. Kindulwa... Kifyero etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…