Kinacho fanya Waganda kua tofauti na wengine ni wasomi wastarabu na ni watu wanao penda tamaduni zao sana hasa lugha yao ya kiganda wana ichanganya na kiingereza inavutia sanaaHuwa ninafurahi sana kuwa na Waganda, Wakenya (hasa waluo au kwa lugha yetu wajaloa) na wakongo kuliko mataifa mengine yoyote ya Afrika. Waganda ni waungwana sana.
Siyo kwamba waganda wote ni wasomi; ni kwamba desturi zao ni za kijumuia, siyo za kibinafsi kwa hiyo wanajua sana kuishi kwenye jumuia yoyote bila kutanguliza ubinafsi.Kinacho fanya Waganda kua tofauti na wengine ni wasomi wastarabu na ni watu wanao penda tamaduni zao sana hasa lugha yao ya kiganda wana ichanganya na kiingereza inavutia sanaa
Noma sana!Watanzania wakarimu sana nakumbuka niliwahi kuwa moro pande fulani kuna m south tulikuwa tunakunywa nae tungi hajui kiswahili misosi tunamsaidia kuagizia na kumsaidia kumpanga demu wa kutafuna jamaa aliishi kwa amani sana.
😄😄😄Hatuna usitufananishe na hao watu
Labda wanaume wa huko wanafanana na wa dar maana wote wanajichubua
Mie mwenyewe hua naumia sana nikisikia wananchi wasiokua hatia wameuwawa kwa kukatwa mapanga na waasi huko DRC raia kukimbia miji yao kuokoa maisha yaoHivi sisi wakongo na watanzania hua tuna asili moja au?
Yaani mkongo kama mimi hivi
Nikiwa safarini nikikutana na raia wa INCH nyingine tofauti na Tanzania hua nahisi mwili wangu una kabaridi fulani hata kama tunaongea lugha moja utakuta sina shauku kabisa ya kuona nipo na mwenzangu
Na hata kwa majanga mengi ambayo yanatukuta mara nyingi wa Tz wamekuwa mstari wa mbele kutufuta macho au kutuonea huruma
Miraa kangeta na gizaDaah mi nikikutana na msomali tunasaga usiku kucha full burdann
Mimi mwenyewe naumia kuona PK anajimwambafy pale Kivu na M23 yake, hadi nikajiuliza watz tumeshindwa kabisa kuwasaidia rafiki zetu akina Fiston Mayele, Christain Bella, Pacho Mwamba n.k? Maana kongo ikistawi Tanzania ina neemeka.Mie mwenyewe hua naumia sana nikisikia wananchi wasiokua hatia wameuwawa kwa kukatwa mapanga na waasi huko DRC raia kukimbia miji yao kuokoa maisha yao
Kwamba mlisaidia kutenda dhambi si ndio?!Watanzania wakarimu sana nakumbuka niliwahi kuwa moro pande fulani kuna m south tulikuwa tunakunywa nae tungi hajui kiswahili misosi tunamsaidia kuagizia na kumsaidia kumpanga demu wa kutafuna jamaa aliishi kwa amani sana.
Wasomali safi sana😳😳