Twaweza kwenye hichi Chama haijawahi kuniangusha
Mtani kumbe na wewe unapendaga bia aiseeNimetamani hicho chakula hasa kinywaji cha tusker
kwel siasa bhna !!!

Nimetamani hicho chakula hasa kinywaji cha tusker
Taska na hiyo mboga hapo mezani mie hapo hunitoi,hahahahahahahahteh teh kumbe ni member! thawa
Taska na hiyo mboga hapo mezani mie hapo hunitoi,hahahahahahahah
Itakuwa imani yako hairuhusu eti!dah mie hapana jaman !hapana !uwii
Itakuwa imani yako hairuhusu eti!
Aisee! ni vema kuheshimu imani yako mwaya.hata bila imani nadhan huyu mnyama nisingemuweza kbs !
Aisee! ni vema kuheshimu imani yako mwaya.
Mie ni muumini wa kanisa moja takatifu katoliki la mitume, huwa tunakula sana