Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,145
- 41,772
Ikifika jioni muda kama huu nikifika kwangu huwa sishiki simu mpaka kesho.This is final call for a passenger of Emirates flight Dr am 4 real PhD ninakuhitaji for serious issue
Mitikasi mingi tuu bruh, tunapambana tuuYes. Kuko poa, Nimeona. Habari gani leo
Naaam nakuja pmIkifika jioni muda kama huu nikifika kwangu huwa sishiki simu mpaka kesho.
Kuna haja tupeane contact number japo ni watu wachache Sana humu tumepeana namba naona haja hiyoi mkuu
Naomba kuwasilishaaa
Ndio naamka now.Naaam nakuja pm
Hiyo ratiba nzuri unalala mapema vzr sanaNdio naamka now.
Ntakua macho mpaka saa 11 na nusu then ndio ntalala tenaa.
Konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa.Hiyo ratiba nzuri unalala mapema vzr sana
Hahaha hyo imekaa unyama,Ila me nikipga hiyo muda km hii ndo nalala πKonyagi ndogo moja inanitosha Sanaa.
Tatizo imeisha nguvu nimeamka ntakua macho mpaka asubuh
Saiv ni saa 10 kasoroo πHahaha hyo imekaa unyama,Ila me nikipga hiyo muda km hii ndo nalala π
Dr unazingua bado hata tisa unusu bado πSaiv ni saa 10 kasoroo π
Na dakika 33 si ndio kasoroooDr unazingua bado hata tisa unusu bado π
Ule muda ulikuwa bado Dr πNa dakika 33 si ndio kasorooo
Ngoja nikubali eeeeUle muda ulikuwa bado Dr π
ππ Raha ya nyagi usikie inafanya kazi bhn,Ngoja nikubali eeee
Ina fanyajee una anza kua muongeajiii eeeeππ Raha ya nyagi usikie inafanya kazi bhn,
Afu me nakuwa mtulivu, observer zaidi hata ninywe bia sio muongeaji napenda nisikilize zaidi,Ina fanyajee una anza kua muongeajiii eeee
Storyteller mzuriiii unajua nyagi ni kama catalyst
Sizani haupandi juu ya mezaaAfu me nakuwa mtulivu, observer zaidi hata ninywe bia sio muongeaji napenda nisikilize zaidi,
Haitokaa itokee π me confidence nnayo even sijawahi ku boost kwa pombe, afu nakunywa for leisure not inipe stimulus hpn au niwe mgomvi ain'tSizani haupandi juu ya mezaa
Hapo sawaHaitokaa itokee π me confidence nnayo even sijawahi ku boost kwa pombe, afu nakunywa for leisure not inipe stimulus hpn au niwe mgomvi ain't
Ndo maana hata nikasema nikiwa nimekunywa sisahau sema tuu naskua napata furaha nikiwa vile basi π