1.Muumini yupo kitaa yupo bendi moja ya kichovu..
2.Misanya yupo UDSM...
3.Bahanuzi striker wa Kagame,bado anakalia mkeka Jangwani..
4.Mama John Terry...sifahamu alipo..
6.jacob tesha paul 7.padri john haule 8.karim besta 9.sara dumba 10.malima nderema kipindi mkoa kwa mkoa 11.tambwe hiza 12.ben kiko.
deo rweyemamu = deo rwegemaliramisanya alipoondoka redio wani na itv sisi wapenzi sugu wa bongo flava enzi zile tulihuzunika na kulalamika sanaa. Ila nilisikia huyu mrangi aliondoka kwa ajili ya fitina dhidi yake pale sambamba na legindary julius nyaisanga. Yani wewe deo rweyemamu
Nimejiuliza nikakosa jibu kwamba yuko wapi:
1. Mwimjuma Muumini(kocha wa dunia)
2. Mama Tery(radio one)
3. Bahanuzi( yanga)
4. Misanya Bingi(radio one)
kama wapo wengne ongeza
13. Iddi ligongo biko
14. Sinta
15.John dilinga jd
16.abubakar sadiq kwa fujo
18.nyamayao
19. Rp mtoto wa remmy kale kasichana kaliimba achana nao bongo fleva alikuwa na bifu kali na zei b.
20. Crazy gk dah huyu jamaa kwenye wimbo wa sister sister
......Deo. Rweyunga.deo rweyemamu = deo rwegemalira
Tambwe Hiza kwa sasa ni house boy kwa mzee Makamba
'Bahambuzi' yuko Polisi Moro kwa mkopo.
6.jacob tesha paul 7.padri john haule 8.karim besta 9.sara dumba 10.malima nderema kipindi mkoa kwa mkoa 11.tambwe hiza 12.ben kiko.
deo rweyemamu = deo rwegemalira