Wako wapi watu hawa?

Wako wapi watu hawa?

Said Bahanuzi kahamia POLICE Morogoro
 
13. Iddi ligongo biko
14. Sinta
15.John dilinga jd
16.abubakar sadiq kwa fujo
18.nyamayao
19. Rp mtoto wa remmy kale kasichana kaliimba achana nao bongo fleva alikuwa na bifu kali na zei b.
20. Crazy gk dah huyu jamaa kwenye wimbo wa sister sister

21.Saidi Comorie
22.Profesa Ludigo, mj records.
23.Marlon Linje (baba George)
24, Mr Paul.
25.Uswahilini matola
 
Nimejiuliza nikakosa jibu kwamba yuko wapi:
1. Mwimjuma Muumini(kocha wa dunia)
2. Mama Tery(radio one)
3. Bahanuzi( yanga)
4. Misanya Bingi(radio one)
kama wapo wengne ongeza

5. Roy maganga
6. Emmanuel Gabriel mwakyusa
7. Mohamedi mwameja
8. Lazaro matarange
9. Patric betwel
 
Du muumini alikuwa jembe

Hakuwa na ujembe wowote sema kipindi kile wapenda burudani walishachoka kucheza midundo bila kuelewa Lugha KILINGALA sasa wakina muumini waliweka nguvu kuimba kiswahili naukichukulia ni.wabongo ndio maana waliwika....! Km angekuwa jembe hata sasa angeendelea kuckika
 
Hivi mnasema kweli idd alikunywa sumu kwasababu ya naniliu......., sasa yuko sauti ya America ni ajabu ati, kutoka mapenzi ya maumivu hadi sauti ya america ni hatua kapiga!!
 
1.Muumini yupo kitaa yupo bendi moja ya kichovu..
2.Misanya yupo UDSM...
3.Bahanuzi striker wa Kagame,bado anakalia mkeka Jangwani..
4.Mama John Terry...sifahamu alipo..

Misanya bingi ni lecturer udsm na sasa hivi anapiga phd,bahanuzi yuko kwa mkopo polisi morogoro mama terry sasa hivi ni mwanaharakati na mchambuzi wa masuala ya kisiasa hasa za kimataifa kuna siku nilimuona tbc ccm kwenye kipindi cha nyumba ya jirani cha hasan marin
 
Dah Prof Ludigo yuko wapi..karibia ngoma zote kali enzi hizo pale Mj records na Bongo records aliunda yeye....
 
kwanza una shida nao gani sio utupe tabu kukwambia walipo kwa habari za kimbea na kishakunaku

Unawatafuta wewe mwenyewe ulikuwa wapi? Umetoka jela nini kwa msamaha wa kusherehekea Mapinduzi? Huna cha kufanya?
 
13. Iddi ligongo biko
14. Sinta
15.John dilinga jd
16.abubakar sadiq kwa fujo
18.nyamayao
19. Rp mtoto wa remmy kale kasichana kaliimba achana nao bongo fleva alikuwa na bifu kali na zei b.
20. Crazy gk dah huyu jamaa kwenye wimbo wa sister sister

21.John Mwapachu
22.Babu wa Loliondo
 
-Salmin Amur (komandoo)
-Rah P
-Laura George
-Fina Mango
-Suzan Mongi
-Edibili Lunyamila
-Saleh Jabir
-Hussein Masha
-Babu Seya
-Jah Kimbuteh
 
Back
Top Bottom