Wako wapi watu hawa?

Wako wapi watu hawa?

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Nimejiuliza nikakosa jibu kwamba yuko wapi:
1. Mwimjuma Muumini(kocha wa dunia)
2. Mama Tery(radio one)
3. Bahanuzi( yanga)
4. Misanya Bingi(radio one)
kama wapo wengne ongeza
 
1.Muumini yupo kitaa yupo bendi moja ya kichovu..
2.Misanya yupo UDSM...
3.Bahanuzi striker wa Kagame,bado anakalia mkeka Jangwani..
4.Mama John Terry...sifahamu alipo..
 
Asante. Huyu Misanya anasoma au anafundisha? Na kama anafundisha atakuwa dept ipi?
 
nimejiuliza nikakosa jibu kwamba yuko wapi:
1. Mwimjuma muumini(kocha wa dunia)
2. Mama tery(radio one)
3. Bahanuzi( yanga)
4. Misanya bingi(radio one)
kama wapo wengne ongeza

6.jacob tesha paul 7.padri john haule 8.karim besta 9.sara dumba 10.malima nderema kipindi mkoa kwa mkoa 11.tambwe hiza 12.ben kiko.
 
6.jacob tesha paul 7.padri john haule 8.karim besta 9.sara dumba 10.malima nderema kipindi mkoa kwa mkoa 11.tambwe hiza 12.ben kiko.
13. Iddi ligongo biko
14. Sinta
15.John dilinga jd
16.abubakar sadiq kwa fujo
18.nyamayao
19. Rp mtoto wa remmy kale kasichana kaliimba achana nao bongo fleva alikuwa na bifu kali na zei b.
20. Crazy gk dah huyu jamaa kwenye wimbo wa sister sister
 
kwanza una shida nao gani sio utupe tabu kukwambia walipo kwa habari za kimbea na kishakunaku
 
Asante. Huyu Misanya anasoma au anafundisha? Na kama anafundisha atakuwa dept ipi?

Misanya nilikutana nae Mirerani alikuwa kwenye tafti fulani ya masuala ya madini na simanjiro was the pilot area. Alinambia anamalizia PHD yake pale mlimani nadhani ss atakuwa tayari ashakula nondo ya udaktari wa kitabu siyo wa kupewa na wachina.
 
Misanya nilikutana nae Mirerani alikuwa kwenye tafti fulani ya masuala ya madini na simanjiro was the pilot area. Alinambia anamalizia PHD yake pale mlimani nadhani ss atakuwa tayari ashakula nondo ya udaktari wa kutabu siyo wa kupewa na wachina.
misanya alipoondoka redio wani na itv sisi wapenzi sugu wa bongo flava enzi zile tulihuzunika na kulalamika sanaa. Ila nilisikia huyu mrangi aliondoka kwa ajili ya fitina dhidi yake pale sambamba na legindary julius nyaisanga. Yani wewe deo rweyemamu
 
13. Iddi ligongo biko
14. Sinta
15.John dilinga jd
16.abubakar sadiq kwa fujo
18.nyamayao
19. Rp mtoto wa remmy kale kasichana kaliimba achana nao bongo fleva alikuwa na bifu kali na zei b.
20. Crazy gk dah huyu jamaa kwetnye wimbo wa sister sister

John dilinga jd anaproject yake inaitwa the legend is back anapiga disco (old skul) isumba lounge pale jolly club zamani pia anafanya kipindi cha mtaa wa mangoma radio one kila jumamosi saa 5-7 mchana akiwa na abubakar sadiq.

Crazy gk wanarudi tena kana east coast team na kina mwanaFA, AY wameanza project hiyo MJ records wakiwa na wenzao Buff G pamoja na snare. (Team nzima ya east coast)
 
heshima yako mkuu. Nashukuru sana.
 
Muumin nakutana nae mara nyingi Kahama na nilishawahi muona anapiga kashow kakiaina pale Club Chilla.
 
13. Iddi ligongo biko
14. Sinta
15.John dilinga jd
16.abubakar sadiq kwa fujo
18.nyamayao
19. Rp mtoto wa remmy kale kasichana kaliimba achana nao bongo fleva alikuwa na bifu kali na zei b.
20. Crazy gk dah huyu jamaa kwenye wimbo wa sister sister

Huyo IDD LIGONGO(BICCO) si ndio alishawahi kunywa sumu kwa sababu ya NORA? enzi zileee! Dah! Kweli mapenzi ni ya ajabu sana, lakini hakufa.
 
Back
Top Bottom