Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,513
Reaction score
5,595
HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
 
Mbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.
 
duh una bahati sana mkuu sisi wetu kila kitu fake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom