Wako wapi Wanafunzi Hawa tuliowatetea sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wako wapi Wanafunzi Hawa tuliowatetea sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elli, Jul 13, 2011.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Tangu juzi kumekuwa na taarifa mbali mbali kwenye vyombo vya habari kuwa kuna vitoto a.k.a Videnti toka Arusha vinakula gudtyme mjini bongo.....na JF member wakaanzisha topic, well, nilichangia kwa mtazamo tofauti mabapowengi waliniona kama kituko fulani hivi.....nikaaama jana kufuatilia ninakokujua mimi, habari za uhakika ni kwamba vilishatoroka na havipo tena...Sasa kama kweli hawa ni Wanafunzi na walikuwa wanahitaji msaada kilichowatorosha leo ni kipi? Je tutaamini vipi kweli kama ni wanafunzi na sio machangudoa wabichi wabichi? Michango yangu niliiweka kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/154031-wanafunzi-wawili-wa-kike-watelekezwa-guest-3.html

  Mimi ni Mwalimu kitaaluma tena mwenye degree ya miaka minne sio mitatu, mwenye uzoefu mzuri tu ikiwa ni pamoja na Counselling and Guidence skillls, nimekuwa nikifundisha shule tofauti za mijini na vijijini kabla ya kuiacha kama miezi mitatu hivi iliyopita...... I know hawa watoto wetu, si watoto tena jamani.....Wazazi kwa asilimi 10000% tumekuwa chanzo cha kupotoka kwa maadili ya watoto hawa; leo asubuhi maeneo ya pale External nikaowana watoto wa kike wakiwa wanasubiri usafiri kwenda shule, nikaangalia style ya nywele zao za kiuanafunzi, nikaangalia uvaji wa hayo mashati ya shule kisha nikamalizia na sketi style iliyovaliwa na kushonwa, nikasikitika sana sana, yaani akiwa nyumbani hana tofauti labda na changudoa yoyote yule mwingine; lipshine, vifungo vya shati wazi, sketi usiseme...,kweli tunawapenda???

  Well, I experienced a lot na hawa watoto, nitawaambia mifano mingi zaidi....lakini kabla ya hapo swali la msingi m=ni kwamba; Ni wapi wamekwenda mabinti hawa wa rusha "waliokosa nauli" ya kurudia kwao???
   
 2. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh au yule jamaa kawatorosha? Atafutwe huyo jamaa anajua wako wapi.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Vimekimbia vyenyewe, si vimeonjeshwa asali sasa vinataka vichonge mzinga??
   
 4. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Kina mikogo!
   
 5. Jigsaw

  Jigsaw JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,817
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nenda kamsubiri Corner Bar. Mna hangaika kumtafuta mtu aliye import wakati watu wa jinsi hiyo wamejaa kila mahala..!! Au kwasababu issue yake ipo katika vyombo vya habari? Huu ni unafiki tu..!!!
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Unafiki ulipitiliza....eti wanawaita ni watoto....upuuzi mtupu watu wazima wale na hisia zaokibao
   
 7. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Elli nilishawah kuzungumzia mavaz na muonekano wa wanafunz wa sasa nikashambuliwa. Wanatia kinyaa kabisa wazaz wako wapi??? Kweli wazaz wana mchango katika kumomonyoka kwa maadili!
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kuna wadau walisikia kilio chao wanavimega muda huu ili baadae wawape pesa . Kumbuka there is no free Lunch .
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Noo, ni zaid ya kinyaaa, si wanafunzi tena hawa, sijui tuwaiteje
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Duh, umevikumbuka vya pale Euckenforde Secondary?? I think watoto wengi saaa hivi ni just Walking Corpses
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  I wish na mimi ........
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hukua huruma Elli . . . . Wenye huruma nao ndio hao wanavinjari nao na kubanjuka kwa nafasi . . . Full stop.
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  watoto wenyewe wasiamua kumtaja mtamjulia wapi? Na watoto wenyewe ndo hao washasepa, labda kawapa nauli kisirisiri warudi kwao.
   
 14. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  umeongea vema sana mwana jf lakini kwenye nyeusi na nilipopigia mstari hizo ni sifa za kitoto!!!!
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Hapana ni katika msisitizo tu Mpwa, maana kuna wengine wangeeanza kuuliza, ni degree ya miaka mingapi na ya wapi? Ok, thnks ila nadhani sio kama za wabunge...nimekungongea thanks pia
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kama vile kweli eeeh
   
Loading...