Wako wapi wana CCM jasiri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wako wapi wana CCM jasiri?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jibaba Bonge, Dec 11, 2008.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2008
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka miaka iliyopita Mwl. Nyerere alisimama na kuwanyooshea kidole watawala wa CCM na serikali kwa kuiingiza nchi kwenye OIC na pia alishawahi kumnyooshea kidole fisadi Lowasa alipotaka kugombea uraisi.
  Hivi siku hizi wenye ujasiri huo ndani ya CCM wako wapi? Alitokea Hans Kitine akasema CCM imekosa mwelekeo akashukiwa na nyundo kadhaa moja wapo ya mzee wetu mmoja aliyesema ' huyu (Kitine)anataka kutoboa meli yetu tukiwa bado kilindini anastahili kutoswa'
   
Loading...