Wako wapi Small Jobinso na King Jobinso?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana jf.
Miaka ya nyuma kulikuwepo waburudushaji mmoja mmoja kwa wakati wake, lakini hatuwezi kuacha kuwakumbuka King Jibinso na Small Jobinso, wakati wakijiaanda kuingia jukwaani, huku nyuma kunatangulia makofi na vifijo kwa sana kabla ya kuanza kucheza, wanapoingia tu uwanjani wenye vieleele vya kutupia hela wanaanza hata kabla ya salami za utambulisho. Enzi hizi walukuwa na wafuasi wengi lakini hawakuwahi kujiunga na bendi yeyote. Nadhani hawakujiongeza wangefika mbali, walikuja kufutwa na Sura mbaya na Toto ze Bingwa Wa FM Academia
 
Tanzania bwana miaka 20 iliyopita tulikuwa gizani sana umeongelea small jobiso nikakumbuka enzi hizo kaja koffi olomide kesho yake magazeti yote koffi anaondoka na small jobiso 😀😀😀 kila kina small jobiso kiuhalisia dogo alisumbua leo hii kawa mbaba nadhani vipande vya magazeti ya shigogo anavyo ndani ambavyo vilimuandika sana enzi hizo
 
Back
Top Bottom