Wako wapi Salum Mwalim, John Mnyika?

Watasema nini wakati magu anatekeleza matakwa ya ukawa? au unadhani wanaotumbuliwa ni wa ukawa? ni wenu wenyewe na nina wasiwasi kama unaishi kwa raha chini ya magu......truth spoken
 
Ukatibu mkuu ulikuwa haki ya Mhe John Mnyika ila sasa chama kimeuzwa kwa hiyo huko Ufipa hana kazi tena. Kamanda Mnyika pambana jimboni kwako mambo ya chama waachie wenyewe.
 
Nasikia Mnyika ana Amnesia...!
Hata hivyo shughuli zote zina fanyika Masaki kwa Lowasa na yeye ndio anatoa maelekezo.
 
Hivi Lowasa ni kama nani ndani ya CDM au UKAWA kwa ujumla?
 
Bado hujajibu swali,nimekuuliza Kinana yuko wapi?
Mbona jibu liko wazi, CCM sasa hivi wanastarehe tu, Mzee wa Push Up anaendelea na kazi ya CCM.
Kuna la kungea hapo?
Hapa Kazi TU!
 
Ndio umeharibu kabisaa
Wapi tena mkuu, mjamaa anapasua majipu kulia , kushoto, hadi madarajani!
Wanaoisoma namba si wapinzani tu, bali wezi, wabadhirifu, wafujaji wa mali ya umma.
CCM hawana cha kuongeza hapo, au ulitaka waseme nini?
 
Hivi hawa ni wapinzani?
 
Wapi tena mkuu, mjamaa anapasua majipu kulia , kushoto, hadi madarajani!
Wanaoisoma namba si wapinzani tu, bali wezi, wabadhirifu, wafujaji wa mali ya umma.
CCM hawana cha kuongeza hapo, au ulitaka waseme nini?
Kwa hivyo CCM hakuna wezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…