Wako wapi Salum Mwalim, John Mnyika?



nchi ya Tanzania inaliwa sana hasa ukizipata sampuli za akili hizi kwa nini mchanga wa madini usipelekwe ulaya kwenda kupembuliwa? huku yanabaki mashimo tu mtu akifukuzwa kazi wewe unafurahi wakati bado basic needs kupatikana ni shida.
 
~~~>>Mkuu Ritz


Wapinzani tuliwekeza ktk kukosoa serikali..... Tulijengwa na matukio badala ya kuwa na Sera mbadala.


Ikiwa na maana kama hakuna matukio basi hakuna Upinzani......... Kwasasa tunapaswa kuegemea ktk Seta mbadala na si kutegemea matukio tena.
 



matukio kweli ,,,,,,, ESCROW, EPA,MEREMETA Wenje alipokuwa analia na kabwe lazima ujitoe ufahamu tu ili kuifurahisha nafsi yako mana hakuna namna.


MNAFARJIANA SANA SAIV NCHI HAINA BUNGE VIKAO VYA KUIFUJA TZ VINAFANYIKA GIZANI WEWE UNAPIGA GITAA JF.
 
Dah! Masaki! Kwa nini?
 
MKUU NAOMBA KUKANUSHA MIMI SIO KABWELA, UMEQUOTE JINA LANGU VIBAYA
ILA HAYO USAMAYO NI KWELI
Kimenuka Ufipa, Makao Makuu yahamia Mikocheni kinyemela
Ufipa kuna tatizo
 
~~~>>Ukimya wa Mnyika unaleta maswali mengi yasiyo na Majibu..... Ukimya huu umeanza mwaka jana.

~~~>>Hata baada ya kuwa na Katibu bado naona chama hakisikiki tena..... Hapa kuna Changamoto.
Kuna Makamanda wengi wamekuwa kimya sana. Hawa vijana michango yao ni muhimu sana. Kuna IDs zimepotea hata humu ....kama naona upepo mpya kwenye siasa zetu ...
 
Jana si ulimwona! KINANA alishamaliza kazi aliyoianza 2013.... KUIRUDISHA CCM mikononi mwa wananchi...na amefanikiwa...... Hongera sana comrade KINANA!
Unanilazimisha nimuone?
 
matukio kweli ,,,,,,, escrow,eppa,meremeta wenje alipokuwa analia na kabwe lazima ujitoe ufahamu tu ili kuifurahisha nafsi yako mana hakuna namna.


MNAFARJIANA SANA SAIV NCHI HAINA BUNGE VIKAO VYA KUIFUJA TZ VINAFANYIKA GIZANI WEWE UNAPIGA GITAA JF.
Acha kupotosha, nchi haina vikao vya Bunge?!
 
Humu JF wamo ila wanatumia ID mpya,pia Mmiliki mpya kawakataza kuzungumza chochote.
 
Vipi ile meli yake iliyokamatwa na mzigo wa kutosha kule kwa wafadhili ilisha rudishwa bongo?
Mnyika yuko wapi? Maana naona unazidi kukimbilia kichakani badala ya kujibu swali la msingi..
 
Ritz piga kazi! Mh Magu kapora sera zote za wananchi kivitendo kwahiyo hawana kelele kama enzi za vasco mkwere
 
Yule mbowe pia yko wapi vile?
 
Katibu wenu amerudi kutoka mbugani? teh teh teeh maana tembo huwa wakimuona msomali huyo wanapiga yowe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…