Inavyoonekana wamesepa pia kwa sababu huenda walikuwa wana yaona hayo matukio na pia hawa kuya semea kokote au nao wali kuwa wana fanya nae. Au wana ogopa pia katika hivyo vitu vilivyo chukuliwa na feds huenda nao kuna uchafu wao naona hiii kesi itapita na majina makubwa ya watu weusi maarufuUnawezaje jitokezakwa jitu chafu na lishenzy Kama Diddy?
Tuanzie hapo kwanza🤒Unawezaje jitokezakwa jitu chafu na lishenzy Kama Diddy?
Una uandishi mbovu.Inavyoonekana wamesepa pia kwa sababu huenda walikuwa wana yaona hayo matukio na pia hawa kuya semea kokote au nao wali kuwa wana fanya nae. Au wana ogopa pia katika hivyo vitu vilivyo chukuliwa na feds huenda nao kuna uchafu wao naona hiii kesi itapita na majina makubwa ya watu weusi maarufu
Wewe haujaweka nukta.Una uandishi mbovu
Kwani huko kwa Biden ni kosa kama mlikubaliana?Huyo jamaa ni laana.Furaha yake ni kutembezea wanaume wenzie mjeledi tu.Bend over,and I lean on!
Akifikishwa mahakamani watamtetea.P diddy alikuwa ana marafiki wengi sana ambao alikuwa nao au alionekana nao kwenye party ambazo alikuwa akiziandaa kwenye nyumba zake za kifahari. Wengine alikuwa nao karibu sana mfano Jay Z. Ambae yeye mwenyewe p diddy alisema duniani watu pekee ambao wana ruhusiwa kumuita Sean ni Jay z na mama yake tu.
Ila toka balaa lim kumbe na feds kwenda kuvamia nyumba yake na kuchukua kila kitu kama sehemu ya ushahidi na kupiga pingu watoto wake hamna rafiki yake yoyote aliyetoka hadharani kumtetea au kupinga alicho fanyiwa.
Swali ni je kuna namna moja au nyingine wanahusika kwenye hizi shutuma maana wengi wao pia walikuwa wana hudhuria hizi parties?
View attachment 2961219
Kwa nini amekimbia na kujificha?Kwani huko kwa Biden ni kosa kama mlikubaliana?
Labda walijihushisha na under 18.Kwa nini amekimbia na kujificha?
Kama anatoa kimya kimya wewe umejuaje na upo bongo,yeye yupo USAMara nyingi Jigga huwa anatoa msaada kimyakimya.