Uchaguzi 2020 Wako wapi Makada kindaki ndaki wa CCM?

Wako bize wanahamasisha makada wao wakapige kura! Nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda! Twita hakuna wapiga kura! Tutakutana kesho kufurahia ushindi wa kishindo
 
Watanzania Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji

Kataa ushoga kwa vitendo
usichokijua serikali yako ndo inawatetea mashoga na ilimkana kabisa MAKONDA alipokuwa anawakamata sasa zungumza hapo nani anayetetea ushoga?
Tundu lissu anatetea katiba na sheria inavyosema huruhusiwi kuingilia faragha ya mtu au kujua nini anafanya chumbani kwake

sheria mnapitisha nyie na kuzivunja mnavunja nyie shame on you guys
 
Mbuzi kweli wewe.....
Watu tunatumia dedicated internet wewe unaongea upuuzi wa ufipa...
Alafu tuko tunahamasishana huku mitaani sasa wewe endelea hamasisha kwenye vpn...wakati luna pini..sijui unamhamasisha nani..
Bavicha mko nyuma sana aisee
 
Mzee Pascal Mayalla kwa dalili za awali ya yote yanayoendelea unaona kuna uwezekano wa mpinzani kushinda na kutangazwa?
Duh...!, Mkuu komanyahenry , unazungumzia upinzani kushinda?, upinzani upi huo wa kushinda na wa kumshinda nani?!. Kuna watu wa kuwashinda ni wale wa kushindwa!, ugombee na wasioshindwa halafu utegemee kushinda!, hiyo ni ndoto!.
Wewe bado unasubiri matokeo?!, mbona wenzio tumeishayatangaza matokeo toka jana!,
P
 
Vipi na yanayoendelea kwenye chaguzi za wabunge kiasi kwamba baadhi ya wakuu wa vyombo vya usalama na wasimamizi wa uchaguzi kuweza kuweka wazi msimamo wao wa kiushabiki kwa baadhi ya vyama, mfano kule Hai?
 
Vipi na yanayoendelea kwenye chaguzi za wabunge kiasi kwamba baadhi ya wakuu wa vyombo vya usalama na wasimamizi wa uchaguzi kuweza kuweka wazi msimamo wao wa kiushabiki kwa baadhi ya vyama, mfano kule Hai?
 
Yuko tayari kumpongeza mshindi ?!
 
Kamanda unaunga mkono ushoga ?
Siungi mkono mashoga
soma vizuri nilichokiandika
sheria hairuhusu kuingilia faragha ya mtu. maana yake mambo yake ya siri yakiwemo ya mtandaoni ya kifamilia ya chumbani na mengine yooote ambayo ni faragha yake huruhusiwi kufatilia kazi hiyo inafanywa na watu husika wa vitengo tena kwa kibali.

ndio maana Makonda alipokuwa anawakamata mashoga serikali haikumuunga mkono na kusema haihusiki ila makonda anafanya kwa matakwa yake.
iweje leo LISSU anapozungumza jambo kulingana na sheria iliyopo mseme anatetea mashoga?
 

Kaka achana nao Hao watu, kula yao inategemea amepinga topic ngapi kwenye mitandao so msamehe tu
 
Kazi ya makada wa CCM vimekabidhiwa vyombo vya ulinzi na usalama, wao wahangaike nini?

Nchi hii inaletewa laana makusudi kabisa
 

Walisema waswahili maneno matupu hayavunji mfupa.

Media za Tanzania si unaziona? Au wewe ulishajiuzulu rasmi kutoka kwenye media njaa hizi?

Hizi zinazotangaza ya kulishwa zikishindania teuzi kwa kuwapendezesha wenye mamlaka?

Mshindi anakuwa mshindwa kwa kujitangaza mshindi au kwa matokeo ya kura?

Nani alidhani rais wetu kipenzi cha wote, aliyejenga mahospitali, madaraja nk leo anapigiwa petition www.change.org kumhusisha na kushitakiwa?

Waliokufa Zanzibar hawakustahili kuishi?

Hata pamoja na teuzi mkuu, au vipi?
 
Watanzania Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji

Kataa ushoga kwa vitendo
Hilo la ushoga manalolazimisha kwa Lissu mbona limesha expire tayari

Watanzania wasikuhizi sio wajinga tena tunaelewa kila kitu hatu danganyiki
 
Kampeni zimeisha comrade. tupo field sasa kuhakikisha JPM anashinda kwa kishindo kelele na porojo za mitandaoni hazina msaada kwa sasa.
 
Kampeni zimeisha comrade. tupo field sasa kuhakikisha JPM anashinda kwa kishindo kelele na porojo za mitandaoni hazina msaada kwa sasa.

Mko field kuhakikisha za wizi zimerasmishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…