Wako wapi Kafulila na Katambi?

Wako wapi Kafulila na Katambi?

MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
Wako store ya giza
 
NYALANDU hakutisha kama hao MAKADA walipokelewa kama Wafalme tukaamini kweli Chama dume kimelamba turufu
Na chama kingine wakanadi wamelamba dume.....kwi kwi kwi....hizi siasa hizi we acha tu.
 
WALIDHURUMIWA POSHO ZAO NDIO MAANA WAMEKUWA WAPOLE PIA WANANYANYASIKA SANA NA WATOTO WA NDANI YA NDOA HUKO KWENYE FAMILIA YA MAMA YAO WA KAMBO.WANATAMANI ARDHI IPASUKE WAINGIE KISHA WAKAIBUKIE KWINGINE.
Masikini nyalandu!
 
Yupo wapi yule kidume kama mlivyomtaja wenyewe toka singida mwizi wa meno ya tembo na twiga!
 
MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
Wanaunga mkono juhudi
 
Back
Top Bottom