Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,430
- 271,920
Kwi! Kwi! Kwi! Balaa la usaliti lisikie hivyohivyo .
They have been corneredHawa Wajomba waliianza safar yao ya siasa vzr baadae wakadanganywa na wahuni!
Formula ya Toilet paper ina apply koteyuko wapi nyalandu
soon mkubwa atawapa vyeo maana hapendi kudhihakiwaWa nasubiri mbunge mwingine apigwe mashoka ndo uwaone
UVCCM huwa wana tabia za kuolewa Mombasa, hivyo ukizungukazunguka mitaa ya Mombasa mida ya magharibi unaweza kukutana nao wakitokea sokoni wakiwa wamejifunika ushungi kama ilivyo desturi za mabinti wa pwani!MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
Ndani ya kabati ila watarudi 2020 kuja kuwaambia walichokikuta ktk Kabati letu .MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
Huyu ni mjanja atarudi hoja zenye mashiko. Muda utasema wenyewetumbili alijidhalilisha big time
hilo nalo neno!!yuko wapi nyalandu
Katambi alikuwepo kwenye Kampeni za KinondoniMAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.