Wako wapi hawa

Wako wapi hawa

Nigga What

Senior Member
Joined
May 1, 2021
Posts
164
Reaction score
448
Wako wapi Ndama mutoto ya ng'ombe, Abdul tall, Chief Kiumbe the big boss, Jacky Pemba, Texas Istadh Juma na Musoma, Brother K na Tunduma, Papaa Mutarika walitamba sana hapo nyuma walikuwa wakimwaga noti kwenye show za dansi kama mchanga.

Bila mapapaa mziki wa dansi haunogi
 
Walikimbilia Uganda enzi ya Jiwe! Sasa wamesikia mshikaji wao VascoDagama ameshika hatamu na Amos Makalla ndio mkuu wa mkoa wa DSM wameanza kurudi mmoja mmoja. Wapo mjini wanabarizi!

Ebwana eeh warudishe heshima ya dansi
 
Wako wapi Ndama mutoto ya ng'ombe, Abdul tall, Chief Kiumbe the big boss, Jacky Pemba, Texas Istadh Juma na Musoma, Brother K na Tunduma, Papaa Mutarika walitamba sana hapo nyuma walikuwa wakimwaga noti kwenye show za dansi kama mchanga.

Bila mapapaa mziki wa dansi haunogi
Walipotea baada ya mirija yao kufungwa.
Mtu atafutae kihalali tena kwa jasho huwa na uchungu na pesa zake.
 
enzi za kina ostaz juma na musoma na jamaa mmoja alikuwa akijiita chief zombe,mji wa musoma ulikuwa unaamsha amsha full shangwe...yaani nilikuwa nikifika musoma sitamani kutoka kabisa...
 
Nchi imefunguliwa yatarudi tena haya majizi kumwaga noti. Uliowataja hapo hakuna hata mmoja mwenye akili binafsi ya kutengeneza mfumo wa kumpa pesa nje ya upigaji, dhuluma, feki, wizi. Jizi Sugu Alex massawe lipo south. Jack Pemba alikimbilia Uganda kisha USA. Kina Nyari na Mawalla walikuwa mawakili wa kutetea wezi.Yamewapiga Sana wazungu kuwauzia vitalu na madini feki.JPM ndie aliyasambaratisha majizi yote. Naona mama atayarejesha
 
Wako wapi Ndama mutoto ya ng'ombe, Abdul tall, Chief Kiumbe the big boss, Jacky Pemba, Texas Istadh Juma na Musoma, Brother K na Tunduma, Papaa Mutarika walitamba sana hapo nyuma walikuwa wakimwaga noti kwenye show za dansi kama mchanga.

Bila mapapaa mziki wa dansi haunogi
Tajili Wille wa Mahewa
 
Papaa Musofe
 
Kong'ombe chacha sukale muhiri obare

Muhiri obare "naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAam"
Eeeeeeeeh nipo hapa Igoma ndama Bw. Zubeir Msabaha natuma salam kwa waendesha daladala wote wa ruti ya Igoma kwenda Mwaloni Kirumba, pili natuma salamu kwa mke wangu Robi chacha wangwe bila ya kumsahau Rpc Mwanza Bw. Sirro, ujumbeeeeeeeeeeeeeeeeee.
"Daladala haijai''
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom