Wako wapi hawa makamanda wa CHADEMA?

Huyo uliyemtaja Mwishoni usichanganye maigizo yake na mabadiliko. Kwanza taka alizohamasisha Dec 9 hazijazolewa bado
Uchafu wa Dec. 9 mkazoe nyie, mna uzoefu huo, si wakati mzee wenu anajinyea mlikuwa mnazoa?
 
Kimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Mshenga kawabadilishia gia angani juu kwa juu, nanukuu,"Reli ni ile ile, mabehewa ni yale yale lakini kichwa ni tofauti, huyu ndiye rais tuliyekuwa tunamtafuta watz anayesimamia maslahi ya wananchi. ..magufuli piga kazi sisi tunakuombea" mwisho wa kunukuu
 
Haya ni majibu ya kijuha sana. Kani wewe Ben ndo msemaji wao? Mleta mada kauliza hivyo kwa vile watajwa hapo juu taarifa zao zilikuwa nje nje. Kwa sasa hata kwenye media hawaonekani

Ukiona mtu anatukana badala ya ku-attack hoja ujue ni kielelezo cha kuzidiwa kila Idara.
 
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Nitajibu kwa hawa wawili
1.Mshenga kawabadilishia gia angani
2.Tundu lissu ni mtiifu wa sera za magufuli, ndio maana ktk jimbo lake EL aliachwa kwa mbali sana na JPM hivo usitegemee wakati huu kumsikia.
 
Haya ni majibu ya kijuha sana. Kani wewe Ben ndo msemaji wao? Mleta mada kauliza hivyo kwa vile watajwa hapo juu taarifa zao zilikuwa nje nje. Kwa sasa hata kwenye media hawaonekani

Wewe ndiye juha. Hilo swali limeletwa kwa nini hapa JF wakati mnajua Kingunge sio member hapa? Mlitaka mjibiwe, na Ben kawajibu vizuri kuwa Kingunge sio mwanachama wa Chadema hivyo kuuliza katika list ya makamanda wa chadema ni UJUHA ZAIDI. Ingawa Ben kwa ustaarabu kashindwa kuita swali hilo kuwa la KIJUHA
 
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya

7. Makongoro Mahanga
8. Msindai
9. Juma Mwapachu
10. Mama Tanzania (james mbatia)
11. Lembeli
 
Duh! Kweli juha anamtambua juha mwenzake. Ktk post hy nimeona majina tu na sijaona mleta post alipodai Kingunge ni chadema. Pole ndugu wewe na Ben Saanane inaonekana wote wakurupukaji tu
 
endelee kuelimika maana upoeo bado mdogo sana kama punje ya saradani
 
Huyu anatafuta huruma arudi Tanganyika Packers
 
Duh! Kweli juha anamtambua juha mwenzake. Ktk post hy nimeona majina tu na sijaona mleta post alipodai Kingunge ni chadema. Pole ndugu wewe na Ben Saanane inaonekana wote wakurupukaji tu
Manyumbu yanahangaika , yaache tu kiongozi
 
Kimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Kuna wale makamanda wengine waliokuwa wenyeviti wa nambari wani Shinyanga, Singida, mstaafu dar, na balozi mmoja mwenye asili ya Tanga na hao mbona hujawatolea maelezo mkuu
 
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya

Umewatembelea makwao umewakosa?
 
Mbona unatahamaki mkuu, ndugu yako ameguswa nini?

Tangu nianze kufuatilia Thread humu jamvini sijawahi kuona ukiandika point. Hivi hadi maisha yako ya kawaida yako hivi au ni msanii tu. Ila mazoea ujenga tabia ndugu
 
kamanda kingunge, maajabu kama haya hupatikana Tanzania pekee, ikiacha yale ya nyumbu kuvuka mto na kwenda mbuga ya masai mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…