wako wapi extra musica

hawa jamaa,baada ya kutoa ile album yao ya eta-major,wakafatia na ile ya amest sharai,ambazo zilifanya vizuri sana,ndio mizozo ya maslai ikalikumba kundi hilo na watu kama kila mbongo,na wengine wakajitoa ktk kundi lililokuwa linaongozwa na logaloga,ndio umaarufu wao ukaishia hapo,ni kama kundi la wenge musica tu,lilivyosambalatika!ila hawa jamaa ile album yao ya et major ilikuwa kiboko.
 
kaka nna album zao km 4 hv jamaa waliteka dunia ila extra bado ipo bt waxanii wke weng si maaruf xna pia weng wao now wanabend zao km oxgene,herman ngassak yule mchz mwnye manjonjo, dou dou copa me cjawai kuona bendi km ile bt hawa wngne wanajitahid 2
 
Back
Top Bottom