Wako anafit vigezo hivi...!???

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
Here are 7 types of women every man should date:

1. Submitted to God – If a woman is submitted to and passionate about living for God, she will be the same to you, assuming you’re a man submitted to God. There is something special about a woman who truly serves God.

2. A Selfless Woman – A selfless woman will understand the importance of working together, sharing, devotion, and commitment for the right reasons. Her motives will be to help make life a little better for you. She will understand that dying to self doesn'’t mean she does not love herself.

3. A Simple and Low Maintenance Woman – A low maintenance woman tends to be focused on the truly important things in life. I’'ve found them to be non-clingy, very rational, and supportive. She won’t care about how much money you have or don’t have. She will like you for who you are and is not looking for what you can do for her. She accepts you freely because she is comfortable in who she is. She is more about becoming a better woman than just appearing to be a good woman.

4. A Woman Who Can Truly Be Your Best Friend – Friendship before love is always best before a serious relationship.

5. Emotionally Stable – This type of woman understands God gave her emotions and instincts to give man balance. She understands emotions are never used as a decision making tool, because emotions can lead you outside of the will of God. The devil drives us off a cliff using emotions and God gently leads us with wisdom.

6. A Loyal and Patient Woman – She is with you through the good and the bad. She’s there if you’re rich; she’s there if you’re poor (if you have 2 cents, 2 dollars, or 2 million dollars… makes no difference). She is right there cheering you on and helping you to be great. She will not be looking for other men, because all of her attention is with you. She will uplift, support and encourage you.

7. A Woman with Character – This should go without saying, but I will add this (and this type should really be the first thing you consider for any woman). She must be of a woman of good character. Without character, it will be difficult to even build a strong friendship.

Character is what we do when other people are not looking, but God always knows what we are doing (e.g. A woman who will still entertain men, giving out her number to other men, etc… is not serious about a courtship leading to marriage and it speaks to her character). How she will honor and respect the relationship as you grow together when you are not around speaks volumes about her character.
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000

Je,
1. Is she submitted to God? (Ana hofu ya Mungu?)

2. Is she selfless or self loving? (Anajipenda kupita kiasi?)

3. Is she simple? (Je, ni mtu simpo..ama kujipidoa mafuta nusu kilo mpaka awe kama kindege?)

4. Is she your best friend? (je ni rafiki yako kwanza kabla ya kuwa mpenzi wako?) <--- kwangu hii ni ya muhimu sana

5. Is she emotionally stable? (je, anaweza kuzuia hisia zake?) ..ukikosea hapa pia utajuta maisha yako yote ya ndoa!!!

6. Is she loyal? is she patient? (je ni mwaminifu na mvumilivu?)

7. does she have a character of her own? (ana sifa yake mwenyewe ama mtu wa kukopi sana??)

Tafakari, chukua hatua.... Arushaone
 
Last edited by a moderator:

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
Napita tu!

No Kipipi nawewe ichukulie kama changamoto..jichunguze, chukua hatua!

Inaweza kuwa ndio sababu upo naye miaka sita sasa hujaolewa...
Inaeza kuwa ndo sababu alikuacha akamfuata Mwana Asha...
Tafakari, chukua hatua...
 
Last edited by a moderator:

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
Mentor darling...........................

Nakupendaje kipenzi!??

Najua una vigezo mpaka namba 10...ndo maana i decided to settle wit you!!!

Na nimepanga nkirudiii nakuletea zawadi, ni dhahabu si ruby utaikuta kwa dada gfsonwin...
 
Last edited by a moderator:

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,736
0
No Kipipi nawewe ichukulie kama changamoto..jichunguze, chukua hatua!

Inaweza kuwa ndio sababu upo naye miaka sita sasa hujaolewa...
Inaeza kuwa ndo sababu alikuacha akamfuata Mwana Asha...
Tafakari, chukua hatua...

Sawa mshauri . . . . japokuwa simsubiri yeye anichague kwa vigezo vyake tu!
Ina takiwa na yeye ajione kama ananistahiri sio yeye atake mimi tu ndo nimstahiri!

Therefore, naweza kuwa nae kwa miaka sita achoke mwenyewe,
Naweza kumfanyia makusudi ili ahamie kwa MwanaAsha.
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
kingeledha ndo pulobulemu
Kongosho,

Je,
1. Is she submitted to God? (Ana hofu ya Mungu?)

2. Is she selfless or self loving? (Anajipenda kupita kiasi?)

3. Is she simple? (Je, ni mtu simpo..ama kujipidoa mafuta nusu kilo mpaka awe kama kindege?)

4. Is she your best friend? (je ni rafiki yako kwanza kabla ya kuwa mpenzi wako?) <--- kwangu hii ni ya muhimu sana

5. Is she emotionally stable? (je, anaweza kuzuia hisia zake?) ..ukikosea hapa pia utajuta maisha yako yote ya ndoa!!!

6. Is she loyal? is she patient? (je ni mwaminifu na mvumilivu?)

7. does she have a character of her own? (ana sifa yake mwenyewe ama mtu wa kukopi sana??)
 
Last edited by a moderator:

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
Sawa mshauri . . . . japokuwa simsubiri yeye anichague kwa vigezo vyake tu!
Ina takiwa na yeye ajione kama ananistahiri sio yeye atake mimi tu ndo nimstahiri!

Therefore, naweza kuwa nae kwa miaka sita achoke mwenyewe,
Naweza kumfanyia makusudi ili ahamie kwa MwanaAsha.

Nakubaliana na wewe my dia..
ila, kwann uwe na mtu miaka sita kwa lengo tu la kumchosha?

Pia nimeiweka koz malalamiko yamekuwa mengi kuwa mnapotezewa muda n ol dat...so kama ni kuja watakuja wengi na ni wewe wa kuchagua yupi anayekidhi vigezo vyako.
Hii post ilikuwa specifically for the JF men...na ladies kuji-evaluate!!
Ama umescore 2/7 nn..mbona mbishi kama bao la pili!??
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,461
2,000
Kuna wanaume wenye bahati za kupata wanawake kama mimi niliye na sifa hizo na zaidi ya hizo.congratulation myself
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom