Wako anafit vigezo hivi...!???

Wako anafit vigezo hivi...!???

Kongosho,

Je,
1. Is she submitted to God? (Ana hofu ya Mungu?)

2. Is she selfless or self loving? (Anajipenda kupita kiasi?)

3. Is she simple? (Je, ni mtu simpo..ama kujipidoa mafuta nusu kilo mpaka awe kama kindege?)

4. Is she your best friend? (je ni rafiki yako kwanza kabla ya kuwa mpenzi wako?) <--- kwangu hii ni ya muhimu sana

5. Is she emotionally stable? (je, anaweza kuzuia hisia zake?) ..ukikosea hapa pia utajuta maisha yako yote ya ndoa!!!

6. Is she loyal? is she patient? (je ni mwaminifu na mvumilivu?)

7. does she have a character of her own? (ana sifa yake mwenyewe ama mtu wa kukopi sana??)
yaani Always her interest first....halafu wengine ndo mtafuata...ila mengine yuko sawa sasa hapa sijui vipi wadau?
 
yaani Always her interest first....halafu wengine ndo mtafuata...ila mengine yuko sawa sasa hapa sijui vipi wadau?

Je ana uelekeo wa kubadilika??!
 
Back
Top Bottom