Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
Baadhi ya maRijali husubiri free services......! Wanawake wengi hubeba majukumu mazito!
Isije ikawa ni duka picha hili... Najiuliza tu ataisimamishaje wakati hana breki kwenye huo mkono mmoja?!
Akijaribu tu kubadilisha mkono, majanga yake itakuwa balaa!Mkuu una macho makaliii!!! ila nadhani atabadilisha mkono