Amen...huyo ndio wanawake wa kiAfrika, wa mwisho kulala, wa kwanza kuamka, kazi zote zinamuangalia yeye na bado kipigo kinamsubiri kutoka kwa mtu anayeamkia kilabuni na kulalia kilabuni. mungu amsaidie mwanamke wa AFRIKA
Miguuu
Hii kweli Sumbawanga kabisa anaenda kutengeneza komoni...mbona km sumbawanga hapo, mtani katavi upo? Maana sute ikiiva, nje ya nyumba panawekwa pipa kuashiria sute is available here
Haya asante