Wakiwa Katika Ujenzi wa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakiwa Katika Ujenzi wa Taifa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mateka, Sep 17, 2012.

 1. M

  Mateka Senior Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Untitled.jpg

  Viongozi wakiwa katika ujenzi wa taifa nguvu mpya kasi mpya.
   
 2. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,576
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  ...... hapo ndio unatofautisha falsafa ya UJAMAA na UBEPARI
   
 3. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mhh huyo JK wa chalinze nguo gani hizo za ujenzi??? kweli mvivu, kwanza alikuwa kenya hapo kwenye kampuni ya maziwa ya brookside. cheki huyu JK origino anavyopiga mziko musoma
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mateka, Jamani ni Musoma sio Msoma. Kweli wanatenda kazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mtu wa Pwani kuanzia lini akalingana na mtu wa Mara?
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo ni kati ya Maziwa na Tui la nazi,tafakari na uchukue hatua.
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mtu wa Pwani kuanzia lini akalingana na mtu wa Mara? Mmoja ni baba wa taifa na mwingine tozi wa kitaa
   
 8. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ukiona hivi, ujue sio bure bali Kenya wana kamchongo tayari na Tz, labda ni lile bomba lao la mafuta kuja A-town!
   
 9. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo JK wa Chalinze mbona kama mchina vile!!
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  MMoja ni sharobaro tu...
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  wajenzi wa afya za binadamu
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Wakiona unawa'fatafata' sana watakwambia "kila zama na kitabu chake"!:censored:
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwanza huwezi kufanya kazi na nguo za sikuu,pili huyo mmoja hataki kuchafuka wakati mwenzake amebeba na mikono yake,isitoshe wamembebea baadhi ya vifaa.hao watu hao ni sawa na mbingu na ardhi kiumbali,mwisho mmoja anajenga home mwingine yupo kwenye utalii wa kawaida.
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Mbona huyu mmoja anatangaza biashara ya Rockside kama nimesoma vizuri, ndio chanzo cha kuja kuvalishwa nguo za matangazo ya biashara bila wewe mwenyewe kujijua
   
 15. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  usingizi na kifo!!:director:
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,670
  Likes Received: 8,217
  Trophy Points: 280
  Mh...brookside kabisa!??
  Kidogo nianze kumtetea JK wa Chalinze kuwa enzi hizi za maendeleo lazima ufanye kazi kwa kujilinda ila iyo chata imenishtua...na brookside nao washakuja kuinvest huku??! Tanga fresh itakufa sasa hivi maana nna uhakika mshkaji apo anapata share za kutosha...
   
Loading...