Wakiwa Kanisani

Wakiwa Kanisani

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
972
Wakiwa ndani ya kanisa mtoto alimuambia mamake,mama nataka kukojoa..mama akamjibu hio sio njia nzuri ya kusema.wakati mwingine ukiwa ndani ya kanisa na unaskia kukojoa sema unataka kuninong'onozea.
Jpili ilofuata mtoto akiwa ndani ya kanisa akiwa na babake akajiskia kwenda kukojoa hivyo akamuambia babake,baba nataka kukunong'onozea..baba akamjibu,si uninong'onozee sikioni..
tafakari kilichofuata.
 
Back
Top Bottom