Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
WATOTO WA KISHUA SECONDARY
SCHOOL
S.L.P 7677, MASAKI.
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.
MAELEKEZO.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na
MAGAZETI YA UDAKU
iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA
KUJIBU.
MUDA; Masaa matatu.
SECTION A.
1. Kwa kutumia mifano hai, elezea
chanzo
cha Kim Kadarshian kugombana na
Kanye
west.
2. Taja tofauti kuu nne kati ya
MLIMANI
CITY na QUALITY CENTER.
3. Kwa kutumia maeneo ya
samakisamaki,
Coco beach, Steers, na Kunduchi
beach
resort elezea maana ya neno BATA.
4. Mapenzi hujengwa kati ya
msichana na
mvulana. Je Vipini masikioni, Kuvaa
mlegezo, mwanaume kusuka na
kujipaka
carolight vinachangia vipi kufanya
penzi
lichanue? Fafanua!! Tumia mifano
hai ya
maboyfriend wa watoto wa kishua
5. Kwa kutumia tamthilia za MARA
CLARA
na zile nyingine za PROMISE na
TIMELESS
elezea nafasi ya mwanamke katika
jamii.
SECTION B
6. Elezea sababu kuu tano za WEMA
na
Diamond kugombana!! Na kisha
elezea
mapinduzi yaliyofanywa na Jokate
Mwegelo. Na je kwa nini
hawakudumu
7. Inasemekana kuwa Chipsi mayai
ni
mojawapo ya chakula
kinachowachanganya
wasichana wengi na mwisho kujikuta
wametoa penzi. Kwa kutumia
maeneo ya
Masaki na Mikocheni elezea Baga na
Pizza
zinavyosababisha tatizo hili.
8. Kwa kuwatumia wasanii wa
Bongofleva
kama Diamond na wa mtoni kama
Chriss
Brown elezea maana ya neno
SWAGA.
9. Watoto wengi wa kishua
hukimbilia
kutafuta mademu wa uswazi wakidai
kuwa
wasichana wa geti kali hawajui lolote
kitandani. Elezea kiufasaha ukitumia
mifano hai kwanini wasichana wa
kishua ni
bomu kitandani.
10. Kwa kutumia mifano hai ya
PLAYSTATION elezea ni ipi ngumu
sana
kucheza kati ya PS 2 na PS 3 ..
NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!!!
SCHOOL
S.L.P 7677, MASAKI.
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.
MAELEKEZO.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na
MAGAZETI YA UDAKU
iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA
KUJIBU.
MUDA; Masaa matatu.
SECTION A.
1. Kwa kutumia mifano hai, elezea
chanzo
cha Kim Kadarshian kugombana na
Kanye
west.
2. Taja tofauti kuu nne kati ya
MLIMANI
CITY na QUALITY CENTER.
3. Kwa kutumia maeneo ya
samakisamaki,
Coco beach, Steers, na Kunduchi
beach
resort elezea maana ya neno BATA.
4. Mapenzi hujengwa kati ya
msichana na
mvulana. Je Vipini masikioni, Kuvaa
mlegezo, mwanaume kusuka na
kujipaka
carolight vinachangia vipi kufanya
penzi
lichanue? Fafanua!! Tumia mifano
hai ya
maboyfriend wa watoto wa kishua
5. Kwa kutumia tamthilia za MARA
CLARA
na zile nyingine za PROMISE na
TIMELESS
elezea nafasi ya mwanamke katika
jamii.
SECTION B
6. Elezea sababu kuu tano za WEMA
na
Diamond kugombana!! Na kisha
elezea
mapinduzi yaliyofanywa na Jokate
Mwegelo. Na je kwa nini
hawakudumu
7. Inasemekana kuwa Chipsi mayai
ni
mojawapo ya chakula
kinachowachanganya
wasichana wengi na mwisho kujikuta
wametoa penzi. Kwa kutumia
maeneo ya
Masaki na Mikocheni elezea Baga na
Pizza
zinavyosababisha tatizo hili.
8. Kwa kuwatumia wasanii wa
Bongofleva
kama Diamond na wa mtoni kama
Chriss
Brown elezea maana ya neno
SWAGA.
9. Watoto wengi wa kishua
hukimbilia
kutafuta mademu wa uswazi wakidai
kuwa
wasichana wa geti kali hawajui lolote
kitandani. Elezea kiufasaha ukitumia
mifano hai kwanini wasichana wa
kishua ni
bomu kitandani.
10. Kwa kutumia mifano hai ya
PLAYSTATION elezea ni ipi ngumu
sana
kucheza kati ya PS 2 na PS 3 ..
NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!!!