Ni kweli pesa nyingi inapotea hapo kati kati ya TPA na TRA bora system ya electronic iletwe tuone wizi utatokea wapi tenaUkimuuliza mkinga yeyote yule pale Kariakoo na mimi nikiwemo, usumbufu tunaopata bandarini kwa sasa ni mkubwa sana. Tumegeuzwa sisi ndio walisha familia wa wafanyakazi wa bandari na TRA.
Wanaolalamika wengi hawana hata biashara wala hawajui kufanya biashara. Wengi wao utasikia Profesa wa chuo kikuu, sijui Padri, mara Mwanaharakati. Je, hawa watu wanaopinga DP World wanafahamu hali ya bandari na wamewahi kufanya biashara au wanakula pension tu za kodi zetu baada ya kustaafu?
Yale matumbo na vitambi na magari ya wafanyakazi wa TRA na bandari, basi ujue ni pesa za dhuluma toka wafanyabiashara wa kikinga au Wahindi.
Utoaji wa mizigo bandarini umejaa urasimu na rushwa mpaka inapelekea baadhi yetu tunakwenda kufunga mzigo Kenya na Uganda na kuuleta Tanzania.
Unaagiza sweats kama chocolate au biscuits, zinaweza kuozea bandarini kwa kupitisha expiration date. Utasikia TBS wanataka rushwa, mara sijui TMDA wanataka rushwa, mara sijui wakala gani wa chakula anataka rushwa. Ukishutuka, chocolate zako zimesha expire.
Uwekezaji wa DP World bora uje. Hatuwezi ogopa, ni bora kufanya kazi na mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi ambaye ananenepa kupitia biashara zetu.
Hao wanaolalamika mkataba sijajua kama wamewahi kufanya hata biashara ya nyanya au mchicha na kupitisha bandari ya Dar es Salaam.
Sisi ndio tunajua faida na hasara ya bandari. Kama sio kupiga hatua na akili kichwani, basi wafanyakazi wengi wa TRA tungewavimbisha matumbo kwa ndumba, ila ni vitoto vidogo tu havijui chochote. Ukiviangalia, unavionea huruma utaviharibia futute yao.
Pesa inayopotea mikoni mwa wafanyakazi wa bandari na TRA ni kubwa sana. Bora Mwarabu atakuja na mifumo ya kisasa itakayoondoa chuki na urasimu.
Wakinga ndiyo nini? Wale wafanyabiashara wanaofanya biashara kwa masharti ya kishirikina?Ukimuuliza mkinga yeyote yule pale kariakoo na Mimi nikiwemo usumbufu tunaopata bandarini kwa sasa ni mkubwa sana ,Tumegeuzwa sisi ndio walisha familia wa wafanyakazi wa bandari na TRA
Wanaolalamika wengi hawana hata biashara wala hawajui kufanya biashara wengi wao utasikia Prof wa chuo kikuu sijui Padri mara Mwanaharakati,Je hawa watu wanaopinga Dp world wanafahamu hali ya bandari na wamewahi fanya biashara au wanakula pension tu za kodi zetu baada ya kustaafu?
Yale matumbo na vitambi na magari ya wafanyakazi wa TRA na bandari basi ujue ni pesa za dhuluma toka wafanyabiashara wa kikinga au wahindi
Utoaji wa mizigo bandarini umejaa urasimu na rushwa mpaka inapelekea baadhi yetu tunakwenda kufunga mzigo kenya na uganda na kuuleta Tanzania
Unaagiza Sweats kama Chocolate au biscuits zinaweza kuozea bandarini kwa kupitisha expiration date,Utasikia Tbs wanataka rushwa mara sijui TMDA wanataka rushwa mara sijui wakala gani wa chakula anataka rushwa ,ukishutuka chocolate zako zimesha expire
Uwekezaji wa Dp World bora uje ,Hatuwezi ogopa ni bora kufanya kazi na mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi ambaye ananenepa kupitia biashara zetu
Hao wanaolalamika mkataba sijajua kama wamewahi kufanya hata biashara ya nyanya au mchicha na kupitisha bandari ya Dar es Salaam
Sisi ndio tunajua faida na hasara ya bandari ,Kama sio kupiga hatua na akili kichwani basi wafanyakazi wengi wa TRA tungewavimbisha matumbo kwa ndumba ila ni vitoto vidogo tu havijui chochote ukviangalia unavionea huruma utaviharibia futute yao
Pesa inayopotea mikoni mwa wafanyakazi wa bandari na TRA ni kubwa sana ,Bora muarabu atakuja na mifumo ya kisasa itakayoondoa chuki na urasimu
Mimi kitu kinachoniumizaga ni mzigo unasafiri let's say kutoka china 4 weeksUkimuuliza mkinga yeyote yule pale kariakoo na Mimi nikiwemo usumbufu tunaopata bandarini kwa sasa ni mkubwa sana ,Tumegeuzwa sisi ndio walisha familia wa wafanyakazi wa bandari na TRA
Wanaolalamika wengi hawana hata biashara wala hawajui kufanya biashara wengi wao utasikia Prof wa chuo kikuu sijui Padri mara Mwanaharakati,Je hawa watu wanaopinga Dp world wanafahamu hali ya bandari na wamewahi fanya biashara au wanakula pension tu za kodi zetu baada ya kustaafu?
Yale matumbo na vitambi na magari ya wafanyakazi wa TRA na bandari basi ujue ni pesa za dhuluma toka wafanyabiashara wa kikinga au wahindi
Utoaji wa mizigo bandarini umejaa urasimu na rushwa mpaka inapelekea baadhi yetu tunakwenda kufunga mzigo kenya na uganda na kuuleta Tanzania
Unaagiza Sweats kama Chocolate au biscuits zinaweza kuozea bandarini kwa kupitisha expiration date,Utasikia Tbs wanataka rushwa mara sijui TMDA wanataka rushwa mara sijui wakala gani wa chakula anataka rushwa ,ukishutuka chocolate zako zimesha expire
Uwekezaji wa Dp World bora uje ,Hatuwezi ogopa ni bora kufanya kazi na mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi ambaye ananenepa kupitia biashara zetu
Hao wanaolalamika mkataba sijajua kama wamewahi kufanya hata biashara ya nyanya au mchicha na kupitisha bandari ya Dar es Salaam
Sisi ndio tunajua faida na hasara ya bandari ,Kama sio kupiga hatua na akili kichwani basi wafanyakazi wengi wa TRA tungewavimbisha matumbo kwa ndumba ila ni vitoto vidogo tu havijui chochote ukviangalia unavionea huruma utaviharibia futute yao
Pesa inayopotea mikoni mwa wafanyakazi wa bandari na TRA ni kubwa sana ,Bora muarabu atakuja na mifumo ya kisasa itakayoondoa chuki na urasimu
Mapembelo!Wakinga ndiyo nini? Wale wafanyabiashara wanaofanya biashara kwa masharti ya kishirikina?
Akili za kikondoo hizo. Wanadhani DPW wakija TRA ndoo inadedi? Washamba hao hawajui kwamba DPW wanakuja kuendesha bandari, sio kutoza kodi.Ukimuuliza mkinga yeyote yule pale Kariakoo na mimi nikiwemo, usumbufu tunaopata bandarini kwa sasa ni mkubwa sana. Tumegeuzwa sisi ndio walisha familia wa wafanyakazi wa bandari na TRA.
Wanaolalamika wengi hawana hata biashara wala hawajui kufanya biashara. Wengi wao utasikia Profesa wa chuo kikuu, sijui Padri, mara Mwanaharakati. Je, hawa watu wanaopinga DP World wanafahamu hali ya bandari na wamewahi kufanya biashara au wanakula pension tu za kodi zetu baada ya kustaafu?
Yale matumbo na vitambi na magari ya wafanyakazi wa TRA na bandari, basi ujue ni pesa za dhuluma toka wafanyabiashara wa kikinga au Wahindi.
Utoaji wa mizigo bandarini umejaa urasimu na rushwa mpaka inapelekea baadhi yetu tunakwenda kufunga mzigo Kenya na Uganda na kuuleta Tanzania.
Unaagiza sweats kama chocolate au biscuits, zinaweza kuozea bandarini kwa kupitisha expiration date. Utasikia TBS wanataka rushwa, mara sijui TMDA wanataka rushwa, mara sijui wakala gani wa chakula anataka rushwa. Ukishutuka, chocolate zako zimesha expire.
Uwekezaji wa DP World bora uje. Hatuwezi ogopa, ni bora kufanya kazi na mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi ambaye ananenepa kupitia biashara zetu.
Hao wanaolalamika mkataba sijajua kama wamewahi kufanya hata biashara ya nyanya au mchicha na kupitisha bandari ya Dar es Salaam.
Sisi ndio tunajua faida na hasara ya bandari. Kama sio kupiga hatua na akili kichwani, basi wafanyakazi wengi wa TRA tungewavimbisha matumbo kwa ndumba, ila ni vitoto vidogo tu havijui chochote. Ukiviangalia, unavionea huruma utaviharibia futute yao.
Pesa inayopotea mikoni mwa wafanyakazi wa bandari na TRA ni kubwa sana. Bora Mwarabu atakuja na mifumo ya kisasa itakayoondoa chuki na urasimu.
Sasa hapo sio kosa la bandari. Bandari hawawezi kukupa mzigo wako kabla hujamalizana na TRA.Mimi kitu kinachoniumizaga ni mzigo unasafiri let's say kutoka china 4 weeks
Bandarini ubakaa 2 or 3 weeks
Kwani system wanayotumia hivi sio ya kielektroniki? Kumbe ni ya nini?Ni kweli pesa nyingi inapotea hapo kati kati ya TPA na TRA bora system ya electronic iletwe tuone wizi utatokea wapi tena
Kwa mfano ukiwa unawatumia Hawa ma cargo agent .....nini kinafanyika mizigo inachelewa wanashindwa kulipia on time "NO'' shida haswa ni nini?Sasa hapo sio kosa la bandari. Bandari hawawezi kukupa mzigo wako kabla hujamalizana na TRA.
Maajenti huzungushana na TRA wapste mapunguzo ya kodi nao wapate cha juu... Siku hazisimamiKwa mfano ukiwa unawatumia Hawa ma cargo agent .....nini kinafanyika mizigo inachelewa wanashindwa kulipia on time "NO'' shida haswa ni nini?
Babu.....yaani Hilo tatizo la kukaa Kwa mzigo wanasemaga tarehe Yao ya kupakia Bado....Maajenti huzungushana na TRA wapste mapunguzo ya kodi nao wapate cha juu... Siku hazisimami
DP WORLD watakapopewa bandali means hao ndio watakaopanga kodi zote za bandilini wakati uku TRA wakilipwa kodi na mwekezaji DP hii pia itasaidia kupunguza uhujumu na manyanyaso ya TRA kwa wafanyabiashara wa kariakooAkili za kikondoo hizo. Wanadhani DPW wakija TRA ndoo inadedi? Washamba hao hawajui kwamba DPW wanakuja kuendesha bandari, sio kutoza kodi.
Yani majinga yanashangilia kuahirishwa mazishi bila kujua msiba uko palepale....
Wana outdated technology yenye ufanisi mdogo na wanaimudu kuichezeaKwani system wanayotumia hivi sio ya kielektroniki? Kumbe ni ya nini?
Kama kweli ni hivi basi nimeamini sisi kweli tumerogwa na aliyeturoga ameshadedi. Yani mtu aje akupangie kodi? Tumekuja kuwa wajinga kiasi hiki? Au ndio tunatawaliwa upya?DP WORLD watakapopewa bandali means hao ndio watakaopanga kodi zote za bandilini wakati uku TRA wakilipwa kodi na mwekezaji DP hii pia itasaidia kupunguza uhujumu na manyanyaso ya TRA kwa wafanyabiashara wa kariakoo