Wakinga wa Kariakoo hatuogopi DP-World hatuwapendi TRA

Wakinga wa Kariakoo hatuogopi DP-World hatuwapendi TRA

Kama kweli ni hivi basi nimeamini sisi kweli tumerogwa na aliyeturoga ameshadedi. Yani mtu aje akupangie kodi? Tumekuja kuwa wajinga kiasi hiki? Au ndio tunatawaliwa upya?

Tunawalaumu bure kina Chifu Mangungo. Wao watajitetea hawkuwa na elimu. Sisi sijui tutajiteteaje??? Uchawi au?
Kwenye huu mkataba sisi ndio tuliowashawishi DP WORLD kuja kuendesha bandali yetu, kama waziri mkuu alivyosema kuwa TPA walipokuwa kwenye maonyesho dubai walivutiwa na uwekezaji wa DP WORLD na jinsi inavyooperate. Hivyo kama serikali walimshawishi DP aje awekeze kwenye bandari zetu means DP ndio watakaopanga kodi na mambo mengi ya uwendeshaji wa bandali ya dar es salaam. Hapa mwekezaji ndio atakayesikilizwa matakwa yake kwenye huu mkataba
 
Kwahio unadhani ujio wa DP WORLD utawaondoa TRA ?!!!!

Huenda wengi tunachotaka na tunadhani tutapa sicho ambacho kitapatikana.....
 
Kwenye huu mkataba sisi ndio tuliowashawishi DP WORLD kuja kuendesha bandali yetu, kama waziri mkuu alivyosema kuwa TPA walipokuwa kwenye maonyesho dubai walivutiwa na uwekezaji wa DP WORLD na jinsi inavyooperate. Hivyo kama serikali walimshawishi DP aje awekeze kwenye bandari zetu means DP ndio watakaopanga kodi na mambo mengi ya uwendeshaji wa bandali ya dar es salaam. Hapa mwekezaji ndio atakayesikilizwa matakwa yake kwenye huu mkataba
PM huyuhuyu aliyetuambia Magu yuko bize ikulu anachapa kazi kumbe mzee wa watu alishatangulia mbele za haki?

Kama ndio huyo unayemsikiliza basi ngoja niendelee kuuamini msemo wa wahenga... WAJINGA NDIO WALIWAO.
 
PM huyuhuyu aliyetuambia Magu yuko bize ikulu anachapa kazi kumbe mzee wa watu alishatangulia mbele za haki?

Kama ndio huyo unayemsikiliza basi ngoja niendelee kuuamini msemo wa wahenga... WAJINGA NDIO WALIWAO.
Hapa hakuna cha ujinga!!

Ubinafsishwaji ni jambo zuri kwa maendeleo ya taifa hawa TPA wameshindwa kuendesha bandari haiwezekani meli zitumie zaidi ya siku 5 kusubiri kushusha mizigo ebu nenda coco Beach ukaone.

Bandari za wenzetu hasa mombasa hutumia siku moja na nusu au mbili ni bora bandari apewe DP WORLD
 
Hapa hakuna cha ujinga!!

Ubinafsishwaji ni jambo zuri kwa maendeleo ya taifa hawa TPA wameshindwa kuendesha bandari haiwezekani meli zitumie zaidi ya siku 5 kusubiri kushusha mizigo ebu nenda coco Beach ukaone.

Bandari za wenzetu hasa mombasa hutumia siku moja na nusu au mbili ni bora bandari apewe DP WORLD
"Nenda Coco Beach ukaone" Naona umeamua kumnukuu Role Model wako Diblo aliyoyasema leo msikitini...

Sina la ziada....
 
DP endapo akiweka menejiment ya wamatumbi basi ajiandae hasara.

Wamatumbi wanawaza wizi kuanzia wa juu mpaka chini
Sasa wataibaje wakati ishasemekana ataweka mifumo yote na kuiunganisha na ya serikali?

Na hiyo mifumo yeye ndo ataisimamia

Pia walisema atakuwa na Hot backup ili lolote litalotokea basi kazi zisisimame?
 
Akili za kikondoo hizo. Wanadhani DPW wakija TRA ndoo inadedi? Washamba hao hawajui kwamba DPW wanakuja kuendesha bandari, sio kutoza kodi.

Yani majinga yanashangilia kuahirishwa mazishi bila kujua msiba uko palepale....
Mkuu wewe kabila gani umeambiwa wakinga wa kariakoo

Sasa pale kariakoo wafanyabiashara si wakinga au?
 
Ukimuuliza mkinga yeyote yule pale kariakoo na Mimi nikiwemo usumbufu tunaopata bandarini kwa sasa ni mkubwa sana ,Tumegeuzwa sisi ndio walisha familia wa wafanyakazi wa bandari na TRA

Wanaolalamika wengi hawana hata biashara wala hawajui kufanya biashara wengi wao utasikia Prof wa chuo kikuu sijui Padri mara Mwanaharakati,Je hawa watu wanaopinga Dp world wanafahamu hali ya bandari na wamewahi fanya biashara au wanakula pension tu za kodi zetu baada ya kustaafu?

Yale matumbo na vitambi na magari ya wafanyakazi wa TRA na bandari basi ujue ni pesa za dhuluma toka wafanyabiashara wa kikinga au wahindi

Utoaji wa mizigo bandarini umejaa urasimu na rushwa mpaka inapelekea baadhi yetu tunakwenda kufunga mzigo kenya na uganda na kuuleta Tanzania

Unaagiza Sweats kama Chocolate au biscuits zinaweza kuozea bandarini kwa kupitisha expiration date,Utasikia Tbs wanataka rushwa mara sijui TMDA wanataka rushwa mara sijui wakala gani wa chakula anataka rushwa ,ukishutuka chocolate zako zimesha expire

Uwekezaji wa Dp World bora uje ,Hatuwezi ogopa ni bora kufanya kazi na mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi ambaye ananenepa kupitia biashara zetu

Hao wanaolalamika mkataba sijajua kama wamewahi kufanya hata biashara ya nyanya au mchicha na kupitisha bandari ya Dar es Salaam

Sisi ndio tunajua faida na hasara ya bandari ,Kama sio kupiga hatua na akili kichwani basi wafanyakazi wengi wa TRA tungewavimbisha matumbo kwa ndumba ila ni vitoto vidogo tu havijui chochote ukviangalia unavionea huruma utaviharibia futute yao

Pesa inayopotea mikoni mwa wafanyakazi wa bandari na TRA ni kubwa sana ,Bora muarabu atakuja na mifumo ya kisasa itakayoondoa chuki na urasimu
Kiufupi wanaopinga ni wajinga wajinga fulani hv
 
Ukimuuliza mkinga yeyote yule pale Kariakoo na mimi nikiwemo, usumbufu tunaopata bandarini kwa sasa ni mkubwa sana. Tumegeuzwa sisi ndio walisha familia wa wafanyakazi wa bandari na TRA.

Wanaolalamika wengi hawana hata biashara wala hawajui kufanya biashara. Wengi wao utasikia Profesa wa chuo kikuu, sijui Padri, mara Mwanaharakati. Je, hawa watu wanaopinga DP World wanafahamu hali ya bandari na wamewahi kufanya biashara au wanakula pension tu za kodi zetu baada ya kustaafu?

Yale matumbo na vitambi na magari ya wafanyakazi wa TRA na bandari, basi ujue ni pesa za dhuluma toka wafanyabiashara wa kikinga au Wahindi.

Utoaji wa mizigo bandarini umejaa urasimu na rushwa mpaka inapelekea baadhi yetu tunakwenda kufunga mzigo Kenya na Uganda na kuuleta Tanzania.

Unaagiza sweats kama chocolate au biscuits, zinaweza kuozea bandarini kwa kupitisha expiration date. Utasikia TBS wanataka rushwa, mara sijui TMDA wanataka rushwa, mara sijui wakala gani wa chakula anataka rushwa. Ukishutuka, chocolate zako zimesha expire.

Uwekezaji wa DP World bora uje. Hatuwezi ogopa, ni bora kufanya kazi na mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi ambaye ananenepa kupitia biashara zetu.

Hao wanaolalamika mkataba sijajua kama wamewahi kufanya hata biashara ya nyanya au mchicha na kupitisha bandari ya Dar es Salaam.

Sisi ndio tunajua faida na hasara ya bandari. Kama sio kupiga hatua na akili kichwani, basi wafanyakazi wengi wa TRA tungewavimbisha matumbo kwa ndumba, ila ni vitoto vidogo tu havijui chochote. Ukiviangalia, unavionea huruma utaviharibia futute yao.

Pesa inayopotea mikoni mwa wafanyakazi wa bandari na TRA ni kubwa sana. Bora Mwarabu atakuja na mifumo ya kisasa itakayoondoa chuki na urasimu.
Kwa sababu mnamiliki mapembero cargo au siyo?
 
Sasa hata akija Mwarabu, TRA, TMDA na TBS si bado watakuwa wapo hapo hao hao? Itatatua vipi tatizo la TRA, TMDA na TBS kwa kuwaleta waarabu?? Ndio maana tunasema solutin ya matatizo yetu tunayo sisi wenyewe hapa ndani.
Yalishazungumzwa miaka mingi mno hayakupata suluhu Bora tutawaliwe tu
 
Back
Top Bottom