wakimbizi watoka gerezani.

Goheki

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
448
387
Wakimbizi wa Burundi walikamatwa nje ya kambi ya wakimbizi mkoani Kigoma,na kupelekwa mahakamani,kujibu tuhuma.Hakimu aliwanyima dhamana baada ya watumia kukana shitaka,cha ajabu mahabusu hayo wamekutwa hawapo gerezani,bali wamerudishwa kambi yao ya wakimbizi.Huu ni udhalilishaji wa sheria na mamlaka husika.

source Itv
 
Hii ni habari ya siku tatu au nne zilizopita na yamekwishatolewa maelekezo wakamatwe na kurudishwa rumande na wakati huo huo inquiry imeanza kuwabaini waliohusika na uvunjaji huo wa sheria ili hatua zichukuliwe dhidi yao.

Hapa kuna kila dalili ya baadhi ya watumishi wa serikali wasio waaminifu kurubuniwa kwa fedha kwani miongoni mwa wakimbizi waliokamatwa wakiishi illegally nje ya makambi ni wafanyabiashara maarufu.
 
Back
Top Bottom