Ukweli ni ukwel tu hata mujifanye mumesoma sana mpaka mnapinga ukweli bundi sio mzuri kabisa na kwa sisi WANYAKYUSYA huyo ndege akilia anashilia kifo cha mzima au chifu,na kuna mchawi aliwahi kusema kuwa kuna bundi wanakua wanaloga na wengine ni wachawi wanaomkataza mtua anayekuwangia