lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Kuna jirani yangu jana amekimbia nyumba yake baada ya juzi usiku BUNDI kulia sana juu ya bati la nyumba yake na jamaa ana mke na mtoto moja.
Nilijaribu kumuuliza kwa kina akajibu kuwa kabila lao la wasukuma wanaamini kwamba bundi ni kiumbe anayetumika kwa ushirikina hivyo akilia juu ya bati ina maana kuna mtu atafariki.