Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Temeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser