Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 10,026
- 20,268
Mwanasiasa ambaye hakuwa anavuma sana, lakini kwa muda mfupi amebeba point zote katia mfukoni. hii ni kwasababu ameongea kile kilichopo mioyoni mwa watanganyika, na watu wanaona kama yeye ndio mkombozi wao and trust me, Serikali iende naye polepole manake kufanya chochote kwa mwabukusi kutaleta taharuki kubwa mno kwani ana sapoti ya majority ya Watanganyika ila ni kimya kimya. Ukitaka kujua kuwa wananchi wengi hawaitaki hii DP WORLD angalia namna Mwabukusi alivyotrendi.
Jamaa alishafanya kazi kama Mwanasheria wa Serikali huko wizarani vya kutosha, anajua anachoongea na ni wachache sana wanaweza kubishana naye kwa hoja, pia amekuwa wakili wa kujitegemea miaka ya kutosha, na hadi leo. Na inasemekana misimamo yake hata mahakamani ndio iko hivyo hivyo, hanaga mchezo kwenye mambo ya msingi hivyo anavyoongea ndivyo alivyo.
imagine angekuwa na chama chake, angekuwa na supporters wengi sana kwa muda mfupi. zamani wanasema alikuwa CHADEMA, ndio alikuwa anatetea wafuasi wa CHADEMA mahakamani Mbeya, akaona wanamzingua akaenda zake kwa NCCR Mageuzi. nadhani sasa hivi anaweza kurudi CHADEMA au abaki NCCR.