Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,776
- 2,389
Wakili: Dowans itadhohofisha nchi
Alisema moja ya madhara hayo ni kwa wafadhili kuiweka nchi kwenye orodha ya kunyimwa misaada, kwa sababu ya kutoheshimu sheria na mikataba ya kimataifa ambayo imeridhia.
Hili dude linaloitwa Fungamtama linaelekea halina akili za kawaida "common sense".
"Mkataba wa kimataifa" wa kitapeli inabidi upingwe kwa akili zote za kuzaliwa nazo.
Kazi ya mwanasheria ni kupinga ufisadi huu.Sasa ukunyimwa misaada kwa ajili ya kuweka utu wako mbele kunatatizo gani.
Huyu Fungamtama ni kama bibie anayebakwa, yeye anamrahisishia mbakaji!!!
Mimi nasisitiza ubaya wa majina yetu...yanatuathiri akili zetu....mara NUNDU sasa huyu FUNGAMTAMA...SIJUI MTAMA UMEKOSA NINI HATA UFUNGIWE
Fungamtama ni bogasi. Sababu zote mbili alizotoa hazina mantiki. Wafadhili wenyewe hawakubalini na tabia ya serikali kufuja hela wanazotoa. Wafadhil;i wanajua historia nzima ya sakata hili na wanajua kuwa lina rushwa ndani yake. Pili wawekezaje nao wana akili kubwa sana ya kujua pumba na mchele. Serikali haitakataa kulipa bila sababu; sababu iliyowazi ni kuwa serikali haikuwa na mkataba wowote na Dowans, bali walikuwa na mkataba na Richmond na wala mkataba huo wa Richmond haukuwa na kipengele kinachoonyesha kuwa utaweza kuuizwa kwa kampuni nyingine ambayo haikuwa imetathminiwa na serikali. Dowansa ilikurupuka na kuchukua mkataba wa Richmond bila serikali kuwa imetathmini ubora wa kampuni hiyo.
Hebu angali hii:
Dowans hawakupewa tenda yoyote na TANESCO; walichukua mkataba wa Richmond bila ridhaa ya TANESCO.
kama kweli Sitta ni mzalendo wa kweli na hana chuki binafsi katika hili ni kwanini hayo madai anayoyasema asingeiomba serikali imuweke kama shahidi wa upande wa TANESCO ili akatoe ushahidi anaousema kila kukicha kwenye vyombo vya habari?
Haya eti nayo hii ni hoja ya huyo mwanasheria! Hivi chuki binafsi inaingiaje kwenye huu mjadala? Kwa nini Sita awe na chuki binafsi na Dowans? Na kama ni kweli why Fungamtama is concerned with the so called "chuki binafsi"?
Haya eti nayo hii ni hoja ya huyo mwanasheria! Hivi chuki binafsi inaingiaje kwenye huu mjadala? Kwa nini Sita awe na chuki binafsi na Dowans? Na kama ni kweli why Fungamtama is concerned with the so called "chuki binafsi"?
Kennedy Fungamtama is known for his corrupted mind.
Now I get it, thanks rev.
Hizo hela wanazolipwa DOWANS ni nyingi sana na watu wengi wameahidiwa mgao na hivyo ni budi kuwachunguza kwa kauri zao. Kwa huyu wakili under subject si tatizo kwa kuwa amekuwa anamtetea sana na kumwakilisha ktk kesi mbalimbali RA na rafiki yake Mh wa Ukonga.
Wazawa kwa kuitetea dowans mnashirki kuwaua Watz. Huo mgao wenu mnauthamanisha na maisha ya Watz walio ktk umaskini wa kutupwa, eti tutakosa misaada! To hell!