Wakili Albert Msando kulikuwa na haja kweli?

Kwani walipewa siku ngapi?

Hizo siku bado hazijafika?

Je wameshajitetea?

Na kama bado na siku zimefika kwanini wasifukuzwe?

Na kama mnawaogopa semeni waz wazi.
 
Amefanikiwa kukamata headlines, maana mimi na wengine wengi hatukumjua kabla.
 
Nikiri kuwa tangu jana kumekuwa na mjadala juu ya alichokisema Wakili Msomi Albert Msando pale Serena Hotel. Moderators, naomba msiutoe wala kuunganisha uzi huu.Ni kwasabu una mtazamo tofauti.

Wakili Msando, ulitangaza kuwa kutakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari pale Serena Hotel. Siku ilipotimu,waandishi na wasio waandishi wakaja kukusikiliza. Ukajitokeza kama Wakili wa akina-Zitto Kabwe. Ukatoa taarifa. Naiona Taarifa yako kama taarifa tata kwakuwa ina mchanganyiko usio rasmi na ambao haukutegemewa.

Kwanza, taarifa yako imebeba 'taarifa kwa umma'. Kwamba, Zitto Kabwe na wenzake,badala ya kujibu tuhuma zao 11 walizopewa na chama chao, wao wameamua kukata rufani kwenda Baraza Kuu la CHADEMA.

Pili, taarifa yako imebeba 'rufani'. Umeainisha sababu kuu mbili za rufani ya akina-Zitto. Ukazikoeza sababu hizo kwa kutaja vifungu mbalimbali vya Katiba ya CHADEMA.

Tatu, taarifa yako inabeba 'utetezi'. Baada ya kuainisha sababu za rufani na vifungu vyake,ukaenda mbele zaidi na kuwsilisha utetezi wa Zitto juu ya tuhuma zinazomkabili. Kuna mahali umesema: 'ZITTO HAUSIKI'. Eti kwakuwa hajatajwa moja kwa moja na Waraka. Kimsingi, huu ni utetezi.

Nne, taarifa yako ikabeba 'kanusho' . Tena ni kanusho lililotokana na habari za sikia-sema (hearsay). Ukakanusha kuhusu kuhusika kwa Zitto kwa vurugu za Kigoma. Kwamba, hausiki na kupigwa mawe Dr.Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Wakili Msomi mwenzangu MsandoAlberto, hujui uzito wa sikia-sema? Wewe ulikuwepo Kigoma wakati Dr.Slaa anapigwa mawe? Kuwa makini Wakili Msomi.

Tano, taarifa yako imebeba 'malalamiko'. Mwanzo hadi mwisho wa taarifa yako ya Serena ni kulalamika tu. Umelalamikia utaratibu,sababu,maneno yasemwayo na kadhalika.

Je, kulikuwa kweli na haja ya kuitisha mkutano Serena na kutoa 'mchanganyiko' huu? Wakili msomi wenzangu MsandoAlberto, tafadhali washauri wateja wako wafuate taratibu za chama chao. Acheni sarakasi zisizo na tija. Mnaweza kuwa mna hoja.Lakini, mnaweza kuiharibu kwakuwa mnapoitolea hapastahili. Kwa hili la sasa, si umma wala vyombo vya habari vinavyoweza kuwa msaada wenu. Msaada pekee mlionao ni Katiba yenu.

Si busara kutoa kila mchakato wa ndani ya chama nje. Msipokuwa makini,mtachokwa na kuhukumiwa kwa jazba na hasira ya viongozi wenu. Watasema:'liwalo na liwe' . Msifike huko. Hakuna haja ya mambo hayo!

Swala hapa ni kuzidi kumuweka Zitto kwenye heading ili asipotee.
Baada ya wiki tena watakuja na lingine, mkakati ni huo huo waliojipangia.

Pia unajuaje hapendi kuonekana kwenye tv?
 
Siasa za bongo bana
Kweli wewe ni diwani wa CDM
Them mwanansheria wa mms
Then unaenda Serena kuongea na waandishi wa habari
Kwa nini usingeita kikao ndani ya chama kama kweli wewe ni diwani
Nadhani wananchi wa moshi inabidi wajiangalie na huyu diwani wao!!!!
 
Nikiri kuwa tangu jana kumekuwa na mjadala juu ya alichokisema Wakili Msomi Albert Msando pale Serena Hotel. Moderators, naomba msiutoe wala kuunganisha uzi huu.Ni kwasabu una mtazamo tofauti.

Wakili Msando, ulitangaza kuwa kutakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari pale Serena Hotel. Siku ilipotimu,waandishi na wasio waandishi wakaja kukusikiliza. Ukajitokeza kama Wakili wa akina-Zitto Kabwe. Ukatoa taarifa. Naiona Taarifa yako kama taarifa tata kwakuwa ina mchanganyiko usio rasmi na ambao haukutegemewa.

Kwanza, taarifa yako imebeba 'taarifa kwa umma'. Kwamba, Zitto Kabwe na wenzake,badala ya kujibu tuhuma zao 11 walizopewa na chama chao, wao wameamua kukata rufani kwenda Baraza Kuu la CHADEMA.

Pili, taarifa yako imebeba 'rufani'. Umeainisha sababu kuu mbili za rufani ya akina-Zitto. Ukazikoeza sababu hizo kwa kutaja vifungu mbalimbali vya Katiba ya CHADEMA.

Tatu, taarifa yako inabeba 'utetezi'. Baada ya kuainisha sababu za rufani na vifungu vyake,ukaenda mbele zaidi na kuwsilisha utetezi wa Zitto juu ya tuhuma zinazomkabili. Kuna mahali umesema: 'ZITTO HAUSIKI'. Eti kwakuwa hajatajwa moja kwa moja na Waraka. Kimsingi, huu ni utetezi.

Nne, taarifa yako ikabeba 'kanusho' . Tena ni kanusho lililotokana na habari za sikia-sema (hearsay). Ukakanusha kuhusu kuhusika kwa Zitto kwa vurugu za Kigoma. Kwamba, hausiki na kupigwa mawe Dr.Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Wakili Msomi mwenzangu MsandoAlberto, hujui uzito wa sikia-sema? Wewe ulikuwepo Kigoma wakati Dr.Slaa anapigwa mawe? Kuwa makini Wakili Msomi.

Tano, taarifa yako imebeba 'malalamiko'. Mwanzo hadi mwisho wa taarifa yako ya Serena ni kulalamika tu. Umelalamikia utaratibu,sababu,maneno yasemwayo na kadhalika.

Je, kulikuwa kweli na haja ya kuitisha mkutano Serena na kutoa 'mchanganyiko' huu? Wakili msomi wenzangu MsandoAlberto, tafadhali washauri wateja wako wafuate taratibu za chama chao. Acheni sarakasi zisizo na tija. Mnaweza kuwa mna hoja.Lakini, mnaweza kuiharibu kwakuwa mnapoitolea hapastahili. Kwa hili la sasa, si umma wala vyombo vya habari vinavyoweza kuwa msaada wenu. Msaada pekee mlionao ni Katiba yenu.

Si busara kutoa kila mchakato wa ndani ya chama nje. Msipokuwa makini,mtachokwa na kuhukumiwa kwa jazba na hasira ya viongozi wenu. Watasema:'liwalo na liwe' . Msifike huko. Hakuna haja ya mambo hayo!

Du! Hivi subira inatakiwa kwa upande mmoja tu lakini upande mwingine unaousemea wewe hauhitaji subira? Nashangaa learned counsel unasisitiza subira wakati wewe umeshindwa kusubiri! Pyuuuu!
 
Mkuu Avanti, mimi ni mtu huru.Sina upande ninaousemea. Kwanza si mwanachama wa chama chochote ukijuacho.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu naona kama una kuwa biased, kamati kuu walipovua uongozi ZZK walikimbilia kwenye vyombo vya habari, walipowakabidhi barua wakakimbilia kwenye vyombo vya habari na haiuonekana tatizo kwako,. Lakini ZZK anapojibu kwa kutumia vyombo vya habari inakuwa nongwa eti anatafuta public sympathy. Mbona CDM wametafuta sana public sympathy kwenye suala la kesi ya ugaidi inayomkabili Lwakatale hukuhoji?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, wewe au Chadema inawauma nini ZZK akitumia media yoyote anayotaka ili kufikisha ujumbe wake? Kumvua madaraka unaona haitoshi hata kwenye media mnataka kumzuia? Acheni chuki binafsi, kwani kuna guarantee kwamba hasipo kwenda kwenye media ndio hatafukuzwa uanachama?
 
Kwa hiyo kwa hiki ulichokiandika unamaanisha hata wakati ule Nyerere alitakiwa asubiri hadi mwisho ndipo aje kuwakamata akina Tamim, Macgee, Rugangira, Maganga na wale wengine waliokuwa wamepanga Kumpindua je kusubiri huku kungemuokoa yeye kutoPinduliwa?

nadhani unashindwa kunielewa,ninalozungumza ni suala la kutangaza katika public siyo kuchukuwa hatua,hatua ilivyochukuliwa wala sina tatizo kabisa,Nyerere kabla ya kuwakamata uchunguzi ulifanyika na baadaye watuhumiwa walikamatwa na mahakama ndiyo iliyokuja kuthibitisha kati ya watuhumiwa wale nani ni mkosaji,vivyo hivyo kwa kina ZZK wamepewa siku kumi na nne za kujieleza ingawa hatua ya mwanzo imechukuliwa,Je kamati Kuu ya Chadema ingeweza kuchukuwa hatua kimya kimya bila kuitisha Press Conference,siku kumi na nne zingefika na kwa kufuata katiba ingekuwa nzuri zaidi,kinachotokea sasa ni matokeo ya matumizi ya vyombo vya habari,kama ZZK anapigwa kwenye vyombo vya habari naye lazima atumie vyombo vya habari,lakini kama ZZK angechukuliwa hatua na kukabidhiwa barua naye angejibu kw barua ama vikao
 
Zote ni tuhuma tuu ambazo hazina ukweli
Lakini hii ya kuuza majimbo hii haijibu na kuitolea maelezo kwa kuwa walifanyiwa hivyo wapo labda ndio anaogopa watatoa ukweli ulivyo mimi na mshauri zito anaofanyanao mipango hiyo katika hiyo sirikali wengine hawapendi na watoa siri zote anazofanya
Mfano wa Dr. Slaa kutegewa vipaza sauti hao waliotega walimtaarifu kuwa ametegewa na yeye kutangaza, hivyo yeye ajue huko nako hakuna anayependa anayofanya yatatoka tuu
Mfukuzeni amekwisha hana faida tena kwenye chama
 
Wakili Msomi Petro,

Kwanza nashukuru kwa maswali yako na pia kuepusha Uzi huu na hayo mengine huko.

1. Taarifa ya jana haikuwa rufaa. Ni taarifa ya nia ya Zitto kukata Rufaa Baraza Kuu dhidi ya adhabu ya kuvuliwa nafasi zake za uongozi. Ni taarifa ya nia na sababu za nia hizo. Sababu kwa nini ameamua kukata Rufaa sio utetezi.

2. Sikia-sema ya yaliyotokea kigoma umechanganya Wakili. Nilichosema ni kwamba Zitto hausiki na matukio hayo. Sijasema kwamba Matukio hayo hayakutokea kwa sababu sikuwa kigoma. Vile vile basi nisiseme yametokea kwa sababu sikuwepo pia.

3. Kwa ilipofikia Zitto atasubiri barua ya maamuzi rasmi ya Kamati Kuu ili aweze kuchukua hatua kwa mujibu wa Kanuni. Pia atasubiri maamuzi ya Kamati Kuu baada ya utetezi wake kwa nini asivuliwe uanachama.

Ahsante.
Mimi sina sababu ya ku-challenge uwakili wako au uelewa wako. Km wewe na wateja wako mmeamua kujibu tuhuma na kuwasilisha maamuzi kwa kamati kuu sasa kuna sababu gani ya ku-pre empty decision ya kamati kuu na kuleta kesi yenu kwa vyombo vya habari? Je waandishi wa habari ndo sehemu ya vikao vya chadema! Hapo wakili umechemsha labda km unafanya mikutano na waandishi wa habari kujitafutia jina/kuji-market! Wewe ukiwa wakili wao kwa nini usitoe hoja zako humo za kukiukwa kwa vifungu na kuomba swala hilo lipitiwe upya ama na kamati kuu au kikao cha juu yake, ili utaratibu mzuri ufanywe haki itendeke? Ni swala la kawaida hata mahakamani kuomba mahakama kupitia tena hukumu yake kwa vile kuna vifungu au ushahidi haukuzingatiwa. Halafu kwa nini msisubiri majibu au matokeo au maamuzi ya kamati kuu kwanza km wataendelea kuwavua vyeo au kuwafukuza chamani, baada ya hapo sasa mkate rufaa? Utaonyeshaje nia ya kukata rufaa hata shauri halijasikilizwa? Huko ni ku-pre empty decisions na kujaribu kuitisha kamati kuu! Km mlitaka kukata rufaa kupinga maamuzi ya kikao kilichopita cha kamati kuu mngekuwa mmefanya hivyo siku nyingi na siyo kusubiri hadi siku 14 zinakwisha? Kwa utaratibu wewe kama wakili wao ulipaswa ukitaarifu chama cha chadema nia yenu ya kukata rufaa kwanza na siyo kuanzia kuvitaarifu vyombo vya habari. Nahisi nia yenu si kujenga chama bali ni kubomoa kwa kisingizio cha maamuzi ya kamati kuu. Na kuhusiana na uhusika wa zitto katika vurugu mimi nilidhani zitto angejitokeza kuanzia day one pale viongozi wa kigoma walipotoa tamko la kumzuia Dr slaa kwenda kigoma ingeleta more sense au hata walipofanya maandamano kwenda polisi? Yeye binafsi au wewe ulitakiwa utoe statement immediately ya kukemea lakini mliziba masikio na kufumba macho hadi mwone mambo yanakwendaje! Mmekuja kugundua Dr Slaa hakutishwa na matamko hayo na watu walijitokeza katika mikutano yake hadi anamaliza ziara yake. Hapo na nyie ndo mnatoa very thin explanations ya kukanusha lakini circumstantial evidence zina m-implicate zitto katika vurugu au waraka wa siri, hawezi akafanyiwa mapango wa uongozi bila yeye kujua NEVER NEVER! Vurugu haziwezi kuandaliwa jimboni kwake pasipo yeye kujua NEVER NEVER! Nawasilisha, mimi ni wakili wa kuzaliwa au wa wito na si wa kusomea lakini.
 
Zote ni tuhuma tuu ambazo hazina ukweli
Lakini hii ya kuuza majimbo hii haijibu na kuitolea maelezo kwa kuwa walifanyiwa hivyo wapo labda ndio anaogopa watatoa ukweli ulivyo mimi na mshauri zito anaofanyanao mipango hiyo katika hiyo sirikali wengine hawapendi na watoa siri zote anazofanya
Mfano wa Dr. Slaa kutegewa vipaza sauti hao waliotega walimtaarifu kuwa ametegewa na yeye kutangaza, hivyo yeye ajue huko nako hakuna anayependa anayofanya yatatoka tuu
Mfukuzeni amekwisha hana faida tena kwenye chama
 
Mkuu Avanti, mimi ni mtu huru.Sina upande ninaousemea. Kwanza si mwanachama wa chama chochote ukijuacho.

Mbona thread ingine nimeona umemsifia Dr Slaa km darasa lako? Unajua maana ya legal positivism? Ni kama political affiliation tu mkuu! Kwa hiyo msimamo wako katika mgogoro wa CDM uko biased kwa maandiko yako yalivyo. Sana sana unaongeza dhambi tu kukana kuwa mwanachama wa chama chochote kwa sababu huna kadi wkt upande unaoutetea upo.
 
Kwani wewe huna mtu wa mfano? Mimi wangu ni Dr.Slaa.Ni uchauzi tu Mkuu.Hakuna uchama hapo
 
Kama ndivyo ilivyo moyoni mwako, sawa Learned Counsel ingawa kwa ufahamu wangu mdogo wa yaendeleayo katika siasa za nchi zetu zinazoendelea ni bora kuwa firm na misimamo yako mwenyewe. Kwa hapa TZ kwa profession yako sidhani km unaweza kuwa na kiongozi wa kisiasa role model, sijui lakini....pengine tuna fikra tofauti tofauti. May be I am condemning what I do not understand!
 
Nikiri kuwa tangu jana kumekuwa na mjadala juu ya alichokisema Wakili Msomi Albert Msando pale Serena Hotel. Moderators, naomba msiutoe wala kuunganisha uzi huu.Ni kwasabu una mtazamo tofauti.

Wakili Msando, ulitangaza kuwa kutakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari pale Serena Hotel. Siku ilipotimu,waandishi na wasio waandishi wakaja kukusikiliza. Ukajitokeza kama Wakili wa akina-Zitto Kabwe. Ukatoa taarifa. Naiona Taarifa yako kama taarifa tata kwakuwa ina mchanganyiko usio rasmi na ambao haukutegemewa.

Kwanza, taarifa yako imebeba 'taarifa kwa umma'. Kwamba, Zitto Kabwe na wenzake,badala ya kujibu tuhuma zao 11 walizopewa na chama chao, wao wameamua kukata rufani kwenda Baraza Kuu la CHADEMA.

Pili, taarifa yako imebeba 'rufani'. Umeainisha sababu kuu mbili za rufani ya akina-Zitto. Ukazikoeza sababu hizo kwa kutaja vifungu mbalimbali vya Katiba ya CHADEMA.

Tatu, taarifa yako inabeba 'utetezi'. Baada ya kuainisha sababu za rufani na vifungu vyake,ukaenda mbele zaidi na kuwsilisha utetezi wa Zitto juu ya tuhuma zinazomkabili. Kuna mahali umesema: 'ZITTO HAUSIKI'. Eti kwakuwa hajatajwa moja kwa moja na Waraka. Kimsingi, huu ni utetezi.

Nne, taarifa yako ikabeba 'kanusho' . Tena ni kanusho lililotokana na habari za sikia-sema (hearsay). Ukakanusha kuhusu kuhusika kwa Zitto kwa vurugu za Kigoma. Kwamba, hausiki na kupigwa mawe Dr.Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Wakili Msomi mwenzangu MsandoAlberto, hujui uzito wa sikia-sema? Wewe ulikuwepo Kigoma wakati Dr.Slaa anapigwa mawe? Kuwa makini Wakili Msomi.

Tano, taarifa yako imebeba 'malalamiko'. Mwanzo hadi mwisho wa taarifa yako ya Serena ni kulalamika tu. Umelalamikia utaratibu,sababu,maneno yasemwayo na kadhalika.

Je, kulikuwa kweli na haja ya kuitisha mkutano Serena na kutoa 'mchanganyiko' huu? Wakili msomi wenzangu MsandoAlberto, tafadhali washauri wateja wako wafuate taratibu za chama chao. Acheni sarakasi zisizo na tija. Mnaweza kuwa mna hoja.Lakini, mnaweza kuiharibu kwakuwa mnapoitolea hapastahili. Kwa hili la sasa, si umma wala vyombo vya habari vinavyoweza kuwa msaada wenu. Msaada pekee mlionao ni Katiba yenu.

Si busara kutoa kila mchakato wa ndani ya chama nje. Msipokuwa makini,mtachokwa na kuhukumiwa kwa jazba na hasira ya viongozi wenu. Watasema:'liwalo na liwe' . Msifike huko. Hakuna haja ya mambo hayo!

Hebu tuambie "Ewe msomi", Kuna Ubaya gani kisheria, kwa Msando kutangaza nia ya wateja wake ya kukata rufaa?. Je amevunja kifungu gani cha katiba na kanuni gani za chama?.

Nahisi hoja yako imekaa kisiasa zaidi, kwamba inatoa "Image mbovu kwa chama", lakini huo ni mtizamo wa uoga,hauna hata chembe ya mantiki ya kisheria, kwa sababu haki ya mwanachama mmoja mmoja ndiyo msingi wa chama. MEDIA SIYO MBAYA, KILICHO KIBAYA NI UONGO NA KUVUNJA KATIBA YA CHAMA!.

LAZIMA UMMA UPATE HAKI YA KUELEWA KINACHOENDELEA NDANI YA TAASISI ZA KISIASA KWA SABABU KODI ZETU NDO RUZUKU ZAO!
 
Hebu tuambie "Ewe msomi", Kuna Ubaya gani kisheria, kwa Msando kutangaza nia ya wateja wake ya kukata rufaa?. Je amevunja kifungu gani cha katiba na kanuni gani za chama?.

Nahisi hoja yako imekaa kisiasa zaidi, kwamba inatoa "Image mbovu kwa chama", lakini huo ni mtizamo wa uoga,hauna hata chembe ya mantiki ya kisheria, kwa sababu haki ya mwanachama mmoja mmoja ndiyo msingi wa chama. MEDIA SIYO MBAYA, KILICHO KIBAYA NI UONGO NA KUVUNJA KATIBA YA CHAMA!.

LAZIMA UMMA UPATE HAKI YA KUELEWA KINACHOENDELEA NDANI YA TAASISI ZA KISIASA KWA SABABU KODI ZETU NDO RUZUKU ZAO

NIKUKUMBUSHE TU BWANA PETER, NI VYEMA UKAMUULIZA MBOWE NA SLAA, KULIKUWA NA ULAZIMA GANI KUTUMIA VIOLENCE KUPORA LAPTOP YA MWIGAMBA, JE USHAHIDI UNAOPATIKANA KINYUME CHA KANUNI NA TARATIBU UNA NAFASI GANI KATIKA MASHITAKA.

INGEBIDI UMUULIZE MBOWE NA SLAA, MATUMIZI YA RUZUKU NA CHAMA YAko SAFI?
INGEBIDI UMUULIZE MBOWE NA SLAA JE KANUNI NA TARATIBU ZA KUWAVUA UONGOZI ZITTO, KITILLA NA MWIGAMBA ZILIFUATWA IPASAVYO?

HAYO NDIYO MAMBO YA KUHOJI, SIYO KUHOJI KUHUSU MSANDO KWENDA KUELEZEA POSITION YA WATEJA WAKE KWENYE VYOMBO VYA HABARI.
 
Back
Top Bottom