Wakili Albert Msando: Issue ya Lema inahitaji Busara zaidi ya Ubishi na Ujuaji

Sasa kama mbakasasa hujaelewa ufafanuzi uliotolewa na mleta mada itabidi aje DJ kukuelewesha.
 
Uko ndiko kunako mfaa lema,ona Arusha ilivyotulia watu wanachapakazi maisha ya naendelea.hakuna bifu Arusha kuko shwaaaari.
 
Kama babu wa loliondo alioteshwa na bado mkaamini ameoteshwa na "mugu wake" hata angelisema mnywe mkojo wake bado mngefanya hivyo tu, ilimradi hatukujua mnaumwa nini, na hatujui kama mlipona.?
 
Reactions: BAK
Labda tumuulize msando, anavyoona yeye anataka busara itoke wapi na itoke kivipi?
 

Nilijua kichwan kuna kitu chochote kumbe box!!
Umeanza vizuri umekuja kumalizia vibaya na sentensi za mwisho zimekuonyesha chuki na kutojua wajibu wa mahabusu na mfungwa gerezani ila unasukumwa na chuki zako kwa Lema. Pole sana hawez kufanyishwa kaz yule sio mfungwa.

Swali la kujiuliza hakim anafundishwa na mawakili wa serikali ?
Awali alitoa dhamana means kosa lake ni dhamana . Baadaye wakamfundisha hatakiwi kupewa dhamana. Ajabu hii
 
Kama kesi ya kuota mtukufu amekufa haina dhamana ni bora ikaunganishwa na zile tatu za mauaji,uhaini na armed robbery ambazo sheria zetu zinatambua kwamba hazina dhamana, vinginevyo ni mahakama kutumika vibaya kunyima watu haki zao, na watu wataendelea kuona maono hata kama mtukufu hayapendi.
[HASHTAG]#Justice[/HASHTAG] for Lema.

~John Heche

 
Haki itakuja tendeka tu. Hakuna haja ya kutaka eti wapigiwe magoti ili wamhurumie Lema. Tutakuwa tunahalalisha ukandamizaji.
 
Kasome kwanza hotuba huyo Ngambo, ndo utaelewa kinachosemwa kuhusu mahakama Arusha.
 
Nimemwelewa sana Msando, umeongea ukweli kuwa kwenye sheria hakuna ushabiki kama wa Yanga Na simba.

Na Lema aangalie aina ya siasa zake, kwa nini yeye tu akae ndani Na sio wenzie.!
Ooo..o akianza kusifu na kushangilia kila kitu chenu, atapata dhamana. Pole ndg kwa unyonge huu.
 
Albert mbona haujatuambia anashitakiwa kwa makosa yapi? Ni bailable? Na kama ni bailable ni nini kisafina aside bailed? Wengine tunasikia kashitakiwa kwa matusi. Je ni kweli? Kamtusi nani na Kamtusi Je? Mimi ni mzee wa kiume;je ukiniita mimi ni bibi ni kosa? Mambo mengine yanahitaji hekima kama jinsi mfalme suleiman alivyoomba hekima kwa Mungu kuliko ubabe
 
Lugumi, Escrow, IPTL n.k waliohusika na kashfa hizo wanatamba tu uraia, lakini huyu aliyeota ndoto yake ndio anaonekana ni mtu hatari kabisa kuliko hao washenzi wezi wa Mali za umma?!! Hizi ni akili za kiuendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…