Kenya 2022 Wakenya, William Samoei Ruto atawafaa 2022, Raila Odinga yuko nyuma sana ya wakati

Kenya 2022 General Election

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,597
46,238
Ndugu zetu Wakenya mnapoenda kwenye uchaguzi mwaka 2022 chagueni mtu mwenye maono makubwa ya mbele sio mzee mfahidhina anayewakilisha mawazo butu ya Africa ya kale.

Raila Odinga ni mzee aliyeachwa na wakati, amechoka akili, hana jambo jipya la kuifanya Kenya isonge mbele, alikiwa vizuri katika ujana wake ila uzeeni amekuwa ni mtu anayehusudu sana na watawala wakandamizaji wa Raia, hili sio jambo zuri akiwa Rais wenu .

William Samoei Ruto ni mtu anayefaa kuwa Rais wenu mwaka 2022. Pamoja na tuhuma nyingi alizo nazo Makamu wenu wa Rais kama walizo nazo mabwanyeye wote wa Kenya akiwemo Rais wenu wa sasa na Raila, Ruto bado anaoenekana ni mtu anayependa utawala wa demokrasia na sheria, ugatuzi wa madaraka, uhuru mkubwa kwa raia na teknolojia za kisasa.

Mpeni Ruto nafasi ya kuwaongoza, sera zake ndizo zinaifaa Kenya ya sasa yenye Katiba mlya, Sera za Raila ziliifaa Kenya iliyokuwa na katiba chakavu, "Baba" amaeachwa na wakati.
 
ndio maana wanawaita "malazy,bongolala n.k" kwa sbb ya shobo za kipuuxi puuzi kama hizi

wewe unamfanyia kampeni huyo Ruto kwamba wewe ndio umnamfahamu vizuri sn kuliko wakenya milioni 60 walioko ndani ya Kenya?!!!

huna kazi ya kufanya?!!
Yeye kashindwa kumpitisha Tundu Lissu
 
Ndugu zetu Wakenya mnapoenda kwenye uchaguzi mwaka 2022 chagueni mtu mwenye maono makubwa ya mbele sio mzee mfahidhina anayewakilisha mawazo butu ya Africa ya kale.

Raila Odinga ni mzee aliyeachwa na wakati, amechoka akili, hana jambo jipya la kuifanya Kenya isonge mbele, alikiwa vizuri katika ujana wake ila uzeeni amekuwa ni mtu anayehusudu sana na watawala wakandamizaji wa Raia, hili sio jambo zuri akiwa Rais wenu .

William Samoei Ruto ni mtu anayefaa kuwa Rais wenu mwaka 2022. Pamoja na tuhuma nyingi alizo nazo Makamu wenu wa Rais kama walizo nazo mabwanyeye wote wa Kenya akiwemo Rais wenu wa sasa na Raila, Ruto bado anaoenekana ni mtu anayependa utawala wa demokrasia na sheria, ugatuzi wa madaraka, uhuru mkubwa kwa raia na teknolojia za kisasa.

Mpeni Ruto nafasi ya kuwaongoza, sera zake ndizo zinaifaa Kenya ya sasa yenye Katiba mlya, Sera za Raila ziliifaa Kenya iliyokuwa na katiba chakavu, "Baba" amaeachwa na wakati.
Wenzio hawana ujinga wa kuchaguliwa kiongozi!! acha mawazo ya kiccm.
 
Fedha na utajiri wake kaupataje? Hayo ni maswali ya kujiuliza sana Wakenya. Msije mkaifanya ikulu kuwa pango la walanguzi na wauza bangi.
 
ukiona nchi magazeti yanaandikwa in English harafu Hadi mkulima ananunua na anasoma ujue hawachaguliwi viongozi wao huchagua wanayeona anafaa
 
Sijazungumzia suala la umri, rudia kusoma nilichoandika.
Kenya sio ya CCM mzee. Raila anakua rais kama atachaguliwa. Ata Joe Biden yuko 80years. Alichaguliwa na anongoza USA the most powerful country to ever exist.
 
Fedha na Utajiri wa Kenyatta na familia yake waliupataje?
Fedha na utajiri wake kaupataje? Hayo ni maswali ya kujiuliza sana Wakenya. Msije mkaifanya ikulu kuwa pango la walanguzi na wauza bangi.
 
Sijazungumzia suala la umri, rudia kusoma nilichoandika.
Screenshot_20211014-190635.jpg
 
Ndugu zetu Wakenya mnapoenda kwenye uchaguzi mwaka 2022 chagueni mtu mwenye maono makubwa ya mbele sio mzee mfahidhina anayewakilisha mawazo butu ya Africa ya kale.

Raila Odinga ni mzee aliyeachwa na wakati, amechoka akili, hana jambo jipya la kuifanya Kenya isonge mbele, alikiwa vizuri katika ujana wake ila uzeeni amekuwa ni mtu anayehusudu sana na watawala wakandamizaji wa Raia, hili sio jambo zuri akiwa Rais wenu .

William Samoei Ruto ni mtu anayefaa kuwa Rais wenu mwaka 2022. Pamoja na tuhuma nyingi alizo nazo Makamu wenu wa Rais kama walizo nazo mabwanyeye wote wa Kenya akiwemo Rais wenu wa sasa na Raila, Ruto bado anaoenekana ni mtu anayependa utawala wa demokrasia na sheria, ugatuzi wa madaraka, uhuru mkubwa kwa raia na teknolojia za kisasa.

Mpeni Ruto nafasi ya kuwaongoza, sera zake ndizo zinaifaa Kenya ya sasa yenye Katiba mlya, Sera za Raila ziliifaa Kenya iliyokuwa na katiba chakavu, "Baba" amaeachwa na wakati.
Kenya inazaliwa upya
 
Huenda walikusoma na kukuelewa.
 
Back
Top Bottom