Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,124
- 32,975
Polisi wa Kenya waua raia kwa kutokuvaa barakoa. Hawa jamaa ni kama hawana akili vile.
Halafu bado wanang'ang'ania kizungu cha ugoko. Wao wenyewe hapo ndio wanajiona wameendeleaa, ha ha ha upuuzi mtupu.Kuuana ni kawaida yao sio kwasababu ya barakoa tu, hao ni zaidi ya wanyama porini.
Bc itakuwa kipaombele cha serikali yao. Lakini raia c waneandamana baada ya hao wakenya kuawa au wanasubir afe mmarekanKuuana ni kawaida yao sio kwasababu ya barakoa tu, hao ni zaidi ya wanyama porini.