PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,105
- 29,910
Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.
Sisi wabongo tukiwa bado kwenye usingizi wa pono wa siasa michezoni pamoja na UJINGA wa akina Haji manara na akina Baba levo wenzetu wakenya wameshatoka usingizini Toka SAA 11 alfajiri. Wakenya wanajua dunia nzima itasimama kuangalia fainali pale Nairobi...
Wizara yetu ya michezo imejipanga vipi na haya mashindano ya AFCON 2027 au bado tunawasubiri wahamasishaji wa soka akina mwijaku?