Wakenya wanaongoza kwa umiliki wa magari Afrika mashariki

Leta data ya wale wanamiliki shamba!

Gari si ugali
Hehehe!! Sizitaki mbichi....
Halafu hivi unajua sio lazima kila mtu amiliki shamba, kunao wachakarikaji mjini ambao maisha yao yote hawajawahi kukamata jembe, na wanaingiza kipato mara mia ya wewe na hako kashamba kako kijijini. Sio lazima tulime sote, kuna wale tunachangia kwenye uchumi kwa njia zingine mbadala.
Cha msingi ni kuhakikisha malengo yako yamekaa sawa, unatimiza majukumu yako kwa familia kwa kuwapa nyumba nzuri, elimu, chakula, usafiri, mawasiliano n.k.
 
Kwa kila Wakenya 30 mmoja anamiliki gari, ilhali majirani Tanzania na Uganda ni 21 na 13 mtawalia.

Maelezo yako na kwenye link ni tofauti,kwa mujibu wa takwimu zako TZ ndio inaongoza,nilijua wakenya mpo vizuri kwa kiingereza kumbe EMPTY.
 
Aacha uzozo!!! kafukieni maiti upate nguo. Habari ya nagari haina maana kwa nchi ya kilofa
 
Mbaya zaidi ni kwamba usafiri wa umma mjini Dar, ambao ndio ungewapa akina Johnny Mutembei afueni ndio huu hapa.
fb_img_1565760570599-jpg.1180942
Foleni za wasafiri Dar wakingoja mabasi ya mwendokasi, BRT.
fb_img_1565760562200-jpg.1180941
Janerose mzalendo atasema kwamba hawa sio watanzania, sio kwa sura zao nyeusi ti ti ti kama zetu sisi wanubi, na walivovalia 'yeboyebo' zao mjini.
 
Leta data ya wale wanamiliki shamba!

Gari si ugali

Kwa wamiliki shamba LDC Tanzania imeshinda mpaka USA.
Congrats.
Bongolala mnadhani shamba ndio mali. Mtaendelea kuongoza namba tatu Afrika kwa namba ya waliomaskini milele.
 
Mbaya zaidi ni kwamba usafiri wa umma mjini Dar, ambao ndio ungewapa akina Johnny Mutembei afueni ndio huu hapa.
fb_img_1565760570599-jpg.1180942
Foleni za wasafiri Dar wakingoja mabasi ya mwendokasi, BRT.
fb_img_1565760562200-jpg.1180941
Janerose mzalendo atasema kwamba hawa sio watanzania, sio kwa sura zao nyeusi ti ti ti kama zetu sisi wanubi, na walivovalia 'yeboyebo' zao mjini.
Endelea kuokota picha Google na kusema Dar.
Watz si weusi kama wakenya na barabara zao zimenyooka na si chafu.
ichoboy01 joto la jiwe Nicxie
 
Nairobi napakubali sana sana kwa kua na Magari mengi ya maana(kitajiri) kuliko mji wowote E/Africa na hata dealership za magari ya Kimilionea pale zipo.
 
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000, ilhali majirani Tanzania na Uganda ni 21 na 13 mtawalia.

Leo wakenya mmejua kuwa tz kuna magari mengi siyo kama wakenya wengi walivyokuwa wakidhani kuna mkenya mmoja alishangaa kuona magari tz alidhani magari ya tz ni chini ya 5% ya yaliyopo Kenya ila hapo 30 kwa 21 inaonyesha tz kunamagari mengi pia uenda hiyo tofauti inatokana na sheria za magari na za barabarani tz ni Kali na zinafuatiliwa ndiyo maana wageni wakija tz wanashangaa kuusu vizuizi Vya barabarani tena magari mabovu Tanzania ukiwanalo utakamatwa kila kukicha tofauti na Kenya na Uganda
 
Mbaya zaidi ni kwamba usafiri wa umma mjini Dar, ambao ndio ungewapa akina Johnny Mutembei afueni ndio huu hapa.
fb_img_1565760570599-jpg.1180942
Foleni za wasafiri Dar wakingoja mabasi ya mwendokasi, BRT.
fb_img_1565760562200-jpg.1180941
Janerose mzalendo atasema kwamba hawa sio watanzania, sio kwa sura zao nyeusi ti ti ti kama zetu sisi wanubi, na walivovalia 'yeboyebo' zao mjini.
Mbona wananchiii wa mjini wanakaa shida tupu?
Na ujue prices za magari Kenya ni almost double from za tz,na bado zinanunulika
 
Hehehe!! Sizitaki mbichi....
Halafu hivi unajua sio lazima kila mtu amiliki shamba, kunao wachakarikaji mjini ambao maisha yao yote hawajawahi kukamata jembe, na wanaingiza kipato mara mia ya wewe na hako kashamba kako kijijini. Sio lazima tulime sote, kuna wale tunachangia kwenye uchumi kwa njia zingine mbadala.
Cha msingi ni kuhakikisha malengo yako yamekaa sawa, unatimiza majukumu yako kwa familia kwa kuwapa nyumba nzuri, elimu, chakula, usafiri, mawasiliano n.k.

Teh teh teh,
Mbona povu na maneno meengi utafikiri muimba mchiriku.
😁😂🤣
Aliyekuambia maisha bila gari hayaendi ni nani?
Kuna watu kibao tu duniani hawana magari na wanafika sehemu yoyote ile, tena kwa wakati. Wanafika kazini, sokoni, Ibadan, kusalimia ndugu na jamaa, lkn hawaja wahi miliki gari hata siku moja maishani mwao. Wee unataka utuaminishe kuwa kumiliki gari ni utajiri. Wakati kwa mtu makini kama mimi, labda umiliki gari linaloingiza hela kama kirikuu au daladala au bodaboda, lkn kama umiliki gari ambalo linachukua hela mfukoni mwako, hiyo ni hasara, it's a liability not an asset. Siyo kitu cha kujisifu nacho.
Huyu jamaa aliyeuliza takwimu za mashamba, amefikiria mbali sana. Anaulizia wangapi wanamiliki Mali ambazo zinapanda thamani kadiri muda unavyo songa? Mfano mashamba *au real estate kwa ujumla), ambayo ni Mali hai. Magari ni mali mfu, kwa maana huzidi kupoteza thamani yake kadiri muda unavyoyoyoma.
Kwa upande mwingine ulaya na marekani wanaanza kutafuta namna ya kupunguza uhitaji wa magari binafsi kwa kuboresha zaidi usafiri wa umma, yaani uwe unapatikana kwa muda mfupi zaidi na kuchukua watu wengi zaidi kwa mkupuo. Pia wanajitahidi kuongeza baiskeli za umma, pay n ride. Ili kupunguza magari binafsi na hatimaye kupunguza uchafuzi wa anga hewa.
Hivyo magari si kitu cha kukionea fahari katika miji au nchi. Ni janga hilo, linalohitaji kudhibitiwa.
 
Leo wakenya mmejua kuwa tz kuna magari mengi siyo kama wakenya wengi walivyokuwa wakidhani kuna mkenya mmoja alishangaa kuona magari tz alidhani magari ya tz ni chini ya 5% ya yaliyopo Kenya ila hapo 30 kwa 21 inaonyesha tz kunamagari mengi pia uenda hiyo tofauti inatokana na sheria za magari na za barabarani tz ni Kali na zinafuatiliwa ndiyo maana wageni wakija tz wanashangaa kuusu vizuizi Vya barabarani tena magari mabovu Tanzania ukiwanalo utakamatwa kila kukicha tofauti na Kenya na Uganda

Kwenu mnaruhusiwa hata kuagiza magari mitumba iliyozeeka na bado mpo mbali sana kukaribia umiliki wa magari wa Kenya, wakati sisi haturuhusiwi, lazima tununue yakiwa mbichi.
 
Back
Top Bottom